Sio Mchechu tu hata uteuzi wa Peter Ulanga hamna kitu kabisa

Wale wazee unaposema eaondolewe wanakuwa wanafukuzwa kazi au unawaondoaje?
 
Wangewaacha mngesema hivyo hivyo! Kwanza hakuna sababu ya serikali kuwa na kampuni ya simu!. Kwenye Nyumba tatizo ni bei, kodi na riba za bank
 
Fadhira baba au mama ako aliifanyia nn serikali bila hivo watoto wa maskini subirieni kwanza
 
Itoshe sasa kuishia kulaumu tu, hebu nendeni mbele kwa kumuorodheshea kabisa raisi watu wa kuwateua ili afanye hivyo kila apatapo nafasi. Tunahitaji kupumzika sasa na makelele haya kila siku.
 
Wangewaacha mngesema hivyo hivyo! Kwanza hakuna sababu ya serikali kuwa na kampuni ya simu!. Kwenye Nyumba tatizo ni bei, kodi na riba za bank
Inaweza ikawa kweli hii!
 
Itoshe sasa kuishia kulaumu tu, hebu nendeni mbele kwa kumuorodheshea kabisa raisi watu wa kuwateua ili afanye hivyo kila apatapo nafasi. Tunahitaji kupumzika sasa na makelele haya kila siku.
Aseee!
 
Nilikwenda TTCL pugu road kununua router, nilichoka.
Kuko na vibibi vinavyotakiwa kulea wajukuu pale na vibabu tu. Kuanzia nalipa mpaka kuja kupewa risiti ya computer hata aliyeagiza kitimoto kavu alishakula.
Kwanini wasiajiri watu walio familiar na computer?
Kwani hakuna kazi nyingine ya kuweza kuwapa wale wastaafu?
Mimi nawaita wastaafu maana sioni wa chini ya miaka stini pale.
 
Kweli kabisa, mhuni yule hana hata mke sijui anapewaje taasisi kubwa vile kuwa CEO wake
 
Hata kuvibadilishia tu potifolio waache vijana wabunifu wapige kazi!
 
Hajaoa anatembea na vitoto vya shule, mhuni kabisa utaratibu wa vetting haupo siku hizi, inategemea una koneksheni na nani
Vingereza vyake atakuwa alikuwa anawakula sana yule!
 
Kweli kabisa, mhuni yule hana hata mke sijui anapewaje taasisi kubwa vile kuwa CEO wake
Hapo TTCL vipi mmeshaona mtazamo mpya? Mtatoboa kupitia huyu mhuni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…