Sio Mnigeria tu, wanawake Watanzania walalama wanavyonyanyaswa kila wakifanya utalii wa ndani

Wakenya hua hatuna unafiq wa aina hii wa kueneza kampeni za roho chafu, hii ni Tabia yenu pekee, we are just returning a favor
[emoji23][emoji23][emoji23].. wakenya bila hata kuongea sana kwenye kipengele cha unafiki mnaongoza yani, embu jibu..

"Mlima kilimanjaro upo wapi buddah?"
 
Huku tz kuna wanaume wanajua show kiasi ambacho wadada wanaacha mabwana zao Nigeria wanakuna bongo.. tena sio Nigeria mataifa kibao, watembea na wamasai huku wanawapa pesa sasa huyo binti ni kama ametumwa hivi kwanini anyamaze mwaka mzima aje kusema leo.. kipindi ambacho raisi wetu anahangaika kukuza utalii wa ndani..

Alafu mbaya zaidi mataifa ambayo ndo yanaongoza kwa unyanyasaji wa wanawake ndo wanajifanya wanaongea sana.. ikiwemo nyie wa Kunyaland[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wanaume wa Tanzania wangekuwa wananyanyasa wanawake leo Mama Samia asingekuwa Raisi wetu yani.

Kikubwa mmetutangaza kwamba wanaume wa Tz sio ma LGBQ fans..
 
Watakuambia hawana ubaguzi, kila siku nikupiga Kenya lecture.
Umekimbia uzi wako huku..[emoji23][emoji23][emoji23]

 

Sijui kama ulitulia ukasoma ulichoandika maana sijui umeandika nini hakieleweki.
Hata hivyo kwa suala la mama, hata mwenyewe alikiri ilikua kwa kudra za Mwenyezi Mungu, sio kwamba alichaguliwa, na kawaida mtu akishaapa kuwa rais, nyie makajamba wengine wowote hamuwezi kumfanya kitu, hamna ubavu wa kumzuia kufanya chochote, mumejaribu kumzingua na hayo magroup yenu ya sijui Sukuma gang ila amewakanyaga kwenye shingo.
 
Sio hao tu hata mashoga wa Kenya wananyanyasika sana wakija bongo.
 
Tulishasema hawa ndugu zetu waarab koko wana matatizo ya kiakili, kwa kweli hawa mazezeta wasipo ombewa ili wapate akili Zanzibar itakuja kuwa kama Somalia au Yemen where vijana wanaokariri Qur'an wanatembea tu mitaani na mabomu kutaka kumlipua mabomu yeyote yule anayefanya kazi na kuwa na maisha mazuri.
 
Serikali itoe tamko la kuwaombea hawa ndugu zetu....siku zinavyokwenda wanazidi kuchanganikiwa na kuwa kama Wasomali au Boko Haram licha ya wengi wao kuwa mashoga.
 
Ni kweli kila jambo anapanga Mungu..
Mbona Kenya hamjawahi pata hata Vice Mwanamke?

Ikumbukwe kabla hata ya Magufuli kufariki Mama ndo alikuwa muwakilishi wetu kwenye shughuli nyingi za kimataifa.

Kenya bado sana kufikia Tanzania kwenye swala la kuwajali wanawake sisi tunaongoza..

Mnapo ichafua Tz jua na nyie itawaletea shida tuu kwasababu watalii wengi wakija Tanzania hupitia Kenya and Vice versa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…