BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 5,532
- 14,164
Haitakuwa mwaka huu wala mwakani ila hatuna miaka 3 mbele kabla hatujashuhudia movement za kutisha katika Taifa hili ambalo linaaminika kwa uoga ukanda huu wa EA.
Pamoja na kwamba tuko stage za awali ila belive or not Movement iko njiani sana na kwa watu wanao jua kusoma alama za nyakati wanapaswa kuajiandaa sana.
Movemnt kwa sasa zipo kwenye social media na inaonekana raia wameanza kuelewa na next haitakuwa kwenye social media tena bali Barabarani. Huku kwenye social media wanapata shule.
Ukisha ina huko socia media raia wako kwenye mafunzo ya theory na bado mafunzo kwa vitendi ambauo yanaweza chukua miaka miwili had mitatu toka sasa.
Movement kwenye social media ndizo zinaenda kuzaa movement za Barabarani na za mageuzi.
Kwa sasa CCM na serikali wako busy kutukana mara kenge mala ujinga ila wanasahua kwamba hizi movement hazitaishia kwenye no reform no election bali zitaendelea hata baada ya hapa.
Sasa CCM waendelee kujidanganya ila wajue hakuna miaka 3 mbele kuanzia sasa hivi.
Ipo siku nitafufua hii post.Tuombe uzima kutoka kwa Mungu.