BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 5,532
- 14,164
Umeona ninachokiona. Hatuko mbali na hilo.Haitakuwa mwaka huu wala mwakani ila hatuna miaka 3 mbele kabla hatujashuhudia movement za kutisha katika Taifa hili ambalo linaaminika kwa uoga ukanda huu wa EA.
Pamoja na kwamba tuko stage za awali ila belive or not Movement iko njiani sana na kwa watu wanao jua kusoma alama za nyakati wanapaswa kuajiandaa sana.
Movemnt kwa sasa zipo kwenye social media na inaonekana raia wameanza kuelewa na next haitakuwa kwenye social media tena bali Barabarani. Huku kwenye social media wanapata shule.
Ukisha ina huko socia media raia wako kwenye mafunzo ya theory na bado mafunzo kwa vitendi ambauo yanaweza chukua miaka miwili had mitatu toka sasa.
Movement kwenye social media ndizo zinaenda kuzaa movement za Barabarani na za mageuzi.
Kwa sasa CCM na serikali wako busy kutukana mara kenge mala ujinga ila wanasahua kwamba hizi movement hazitaishia kwenye no reform no election bali zitaendelea hata baada ya hapa.
Sasa CCM waendelee kujidanganya ila wajue hakuna miaka 3 mbele kuanzia sasa hivi.
Ipo siku nitafufua hii post.Tuombe uzima kutoka kwa Mungu.
Mageuzi yameanza zmani, mwaka wa 4 huu yanaendelea, umelala?Haitakuwa mwaka huu wala mwakani ila hatuna miaka 3 mbele kabla hatujashuhudia movement za kutisha katika Taifa hili ambalo linaaminika kwa uoga ukanda huu wa EA.
Pamoja na kwamba tuko stage za awali ila belive or not Movement iko njiani sana na kwa watu wanao jua kusoma alama za nyakati wanapaswa kuajiandaa sana.
Movemnt kwa sasa zipo kwenye social media na inaonekana raia wameanza kuelewa na next haitakuwa kwenye social media tena bali Barabarani. Huku kwenye social media wanapata shule.
Ukisha ina huko socia media raia wako kwenye mafunzo ya theory na bado mafunzo kwa vitendi ambauo yanaweza chukua miaka miwili had mitatu toka sasa.
Movement kwenye social media ndizo zinaenda kuzaa movement za Barabarani na za mageuzi.
Kwa sasa CCM na serikali wako busy kutukana mara kenge mala ujinga ila wanasahua kwamba hizi movement hazitaishia kwenye no reform no election bali zitaendelea hata baada ya hapa.
Sasa CCM waendelee kujidanganya ila wajue hakuna miaka 3 mbele kuanzia sasa hivi.
Ipo siku nitafufua hii post.Tuombe uzima kutoka kwa Mungu.
We ota tuHaitakuwa mwaka huu wala mwakani ila hatuna miaka 3 mbele kabla hatujashuhudia movement za kutisha katika Taifa hili ambalo linaaminika kwa uoga ukanda huu wa EA.
Pamoja na kwamba tuko stage za awali ila belive or not Movement iko njiani sana na kwa watu wanao jua kusoma alama za nyakati wanapaswa kuajiandaa sana.
Movemnt kwa sasa zipo kwenye social media na inaonekana raia wameanza kuelewa na next haitakuwa kwenye social media tena bali Barabarani. Huku kwenye social media wanapata shule.
Ukisha ina huko socia media raia wako kwenye mafunzo ya theory na bado mafunzo kwa vitendi ambauo yanaweza chukua miaka miwili had mitatu toka sasa.
Movement kwenye social media ndizo zinaenda kuzaa movement za Barabarani na za mageuzi.
Kwa sasa CCM na serikali wako busy kutukana mara kenge mala ujinga ila wanasahua kwamba hizi movement hazitaishia kwenye no reform no election bali zitaendelea hata baada ya hapa.
Sasa CCM waendelee kujidanganya ila wajue hakuna miaka 3 mbele kuanzia sasa hivi.
Ipo siku nitafufua hii post.Tuombe uzima kutoka kwa Mungu.
Mkitaka mbilinge,hakikisheni waislam wanakua na nyinyi,hao wanajua ku-fight,siyo wapunga pepo na mafuta ya upakoUmeona ninachokiona. Hatuko mbali na hilo.
Waisilamu wapo,hata hivyo kampeni yetu sio ya waisilamu ama wakristo ni ya watanzania. Kutazama watu kwa dini zao hiyo iko ccm. Tumeshavuka hatua za kidini.Mkitaka mbilinge,hakikisheni waislam wanakua na nyinyi,hao wanajua ku-fight,siyo wapunga pepo na mafuta ya upako
Huwapati,maana hata kampeni zenu tukifunua nyuma tunakuta udini tuWaisilamu wapo,hata hivyo kampeni yetu sio ya waisilamu ama wakristo ni ya watanzania. Kutazama watu kwa dini zao hiyo iko ccm. Tumeshavuka hatua za kidini.
Funua huko nyuma uweke huo udini. Hatuhitaji kubembeleza watu wa dini fulani, ajenda yetu ni ya wazi wala si ya kificho, na tuna madai halali. Kama kuna watu wanategemea tutawabembeleza kisa ni wa dini fulani basi wamekwama. Tuko na watanzania wanaotaka mabadilko ya kiutawala. Hao wanaotaka mabadiliko kwa jicho la dini hatuna uhitaji nao, waende huko dini inapotazamwa kama msingi wa kufikia malengo.Huwapati,maana hata kampeni zenu tukifunua nyuma tunakuta udini tu
Wanaoleta udini tuwanyanyapae reforms ni muhimu Wenyeviti wa vyma wataleta wagombea wenye kukubalika kwa wananchi reforms zikiwepo sio una matatizo na mwenyekiti anakukata jina kisa mlipisha kauli analeta wa kutoka mfukoni kiufupi reforms zikifanyika wagombea wa kutoka mifukoni kwa Wenyeviti wa vyama bye bye ukikata jina langu huku kwenye chama A naenda Chama B maana Uwanja uko balanced kikubwa unakubalika kwa wananchi una hoja nzuri hakuna janjaFunua huko nyuma uweke huo udini. Hatuhitaji kubembeleza watu wa dini fulani, ajenda yetu ni ya wazi wala si ya kificho, na tuna madai halali. Kama kuna watu wanategemea tutawabembeleza kisa ni wa dini fulani basi wamekwama. Tuko na watanzania wanaotaka mabadilko ya kiutawala. Hao wanaotaka mabadiliko kwa jicho la dini hatuna uhitaji nao, waende huko dini inapotazamwa kama msingi wa kufikia malengo.
tafuta elaHaitakuwa mwaka huu wala mwakani ila hatuna miaka 3 mbele kabla hatujashuhudia movement za kutisha katika Taifa hili ambalo linaaminika kwa uoga ukanda huu wa EA.