Sio NEC,NIDA na pengine inawezekana CCM ina cable JF.

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Hapa JF kuna mashambulizi ambayo wana propaganda wapo ambao wanalipwa pesa kueneza ajenda zao.

Kiufupi sasa hata mnacholeta hapa JF kunawapa kazi ngumu CCM.

Mlipo sasa mtatema bungo
 
Hawa wapo na wanajulikana kwa id zao kuwa ni wanapropaganda wa ccm. Wana kazi ngumu sana humu kwana hukumbana na vikwazo vya kueneza propaganda zao, hoja zao hupanguliwa na hukimbia jukwaa wapuuzi wale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…