Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha eti yeye ndie manager wake mwenyewehashauriki, hana manager yeye ndio manager wa manager wake.... alitakiwa kuwa na team itayomsaidia kuwa mkubwa na kuvutia wapenzi wengi, ila majigambo yaliyopita mipaka na vibifu vidogo vidogo vinamuangusha.... Tanzania tuna vipaji sana, shida ni management za kutusaidia, ndio maana hata mikataaba tunaingia wenyewe baadae tunalalamika., na shida kubwa ni kukosa elimu