Sio sahihi "house boy" kukufulia nguo za ndani

Sio sahihi "house boy" kukufulia nguo za ndani

Notorious thug

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2021
Posts
2,817
Reaction score
10,667
Habari za wakati huu wana jukwaa,

Wiki iliyopita nilienda kumsalimia kaka yangu, yeye anaishi na mfanyakazi wake wa kiume, mke yupo kikazi mkoa mwingine.

Jambo lililonishangaza wakati nafua nguo zangu kujiandaa na safari nilihamaki kuona mfanyakazi wake wa kiume akimfulia nguo zake za ndani "Boxer", ikabidi nimuulize; akajibu braza huwa anamwachia afue!

Nilijisikia sana vibaya, hata kama yupo 'busy' na kazi ni bora angetenga muda. Naona huu ni udhalilishaji, naomba wengine wenye tabia kama hii waache.
 
Back
Top Bottom