Sio sawa kuwafanyia indoctrination au brainwashing za kidini watoto wadogo hivi

Huyu ni mimi mtupu nlivokua mdogo lakini saivi nimeachana na hayo mambo
 
Kuna shida yeyote?kwa nn tunawanunulia watoto toys ,tunawauliza wakiwa wakubwa wanataka kuwa kina nani?ni kosa kumnunulia mtoto nguo za ki-Pilot ama za sheikh ama daktari?
Ni kosa kumnunulia nguo za sheikh au ushungi kwa sababu utakuwa unamfanyia brainwashing.
 
"waacheni watoto wadogo waje kwangu..."

halafu kuna Snoop Dog mmoja anapingana na maandiko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…