A
Anonymous
Guest
Hii Tabia Inabidi Polisi waiache. Polisi wetu wanatabia ya Kutembea Gari lisilokuwa na Plate namba yaani (PT......)
HII Tabia ni ya Kihalifu.
Kuwa Polisi haikufanyi kuvunja Sheria. Kwa Kutembea Bila Plate namba inaashiria wanaweza kufanya Tukio la uhalifu na wasijulikane. Kwa maana plate namba inaweza Kujua Nani Alikuwa Patrol siku hiyo.
Kiukweli Polisi wetu baadhi yao ni Majambazi. Haiwezekani Watoe plate namba huo ni Uhalifu. Ukitaka kuamini Gari za Patrol za Polisi Huwa wanazitoa makusudi Ili wakafanye Uhalifu Siri .