Sio siri mashekhe wa uamsho wamekamatwa kwa tuhuma za kuupinga Muungano wa Tanzania

Hilo mbona liko wazi. mliokuwa hamjui ni nyie wachache tu. hata hao wanaopinga wanajua fika sababu ni kupinga aina ya muungano uliopo. Kama ni hayo makanisa zanzibar yapo tangu miaka ya 1800 na wala hayajawahi kubugudhiwa. pole kwa kuchelewa kulijua hilo.
 
unaweza shangaa hayo yalifanywa na wale eagle kuhalalisha hayo kwa ustadi mkubwa! think beyond mkuu! mambo mengine ni bora kujinyamazia tu!
 
Lile lilikuwa ni G55 na siyo G58. Na siyo kweli kuwa Rais aliyekuwepo ndiye alilizima,aliyelizima ni alikuwa Mwalimu Nyerere ambaye hakuwa Rais wakati huo,aliyekuwa Rais alikuwa ni Mzee Mwinyi na tofauti na Hawa mashehe wao walitoka dini tofauti na hoja yao waliitolea bungeni siyo msikitini au kanisani.
 
Hiyo siyo tatizo kuwaachia huru masheikh wa Uamsho
Kule Unguja, every once in while,Sheikh atashika mike na kusema,Hakuna Muungano, Unguja tunaonewa
Jaji Mkuu
juzi.alikuwa anasema hakimu asiingiliwe.katika kesi.
Anayasema maneno haya mbele ya Rais,kwa sababu bila shaka anataka kumuelimisha Rais
Sasa,kesi ya Uamsho ilivyochelewa kuisha, Jaji Mkuu atueleze,ilikuwa imeingiliwa na nani?
Rais anaweza kuwatoa wale kesho asubuhi bila kukiuka Katiba.
Waambie tu wanavyotoka pale wasimuulize Shein,*Kiko wapi?"
BAKWATA wameomba waachiwe huru,which is significant,kwa sababu BAKWATA hawana kawaida ya kuwaunga mkono renedade preachers.
Kama kuwaadhibu,hiyo miaka saba waliyokaa jela inatosha
 
Acha Ushamba wewe.
Mbona unawachongea Mashehe. Hakuna nchi ambayo chanzo chake siyo Muungano
 
Kwani kudai ndo kunakupelekea kutaka kujitenga ?? Kudaiwa ni Jambo la kawaida

Sent from my Moto E (4) using JamiiForums mobile app
 
Hayo ni maneno wamekutuma uyasemeeeeee au ni yako tu? Kama kweli wanakiri kosa lao, hizi mbwembwe zote na sumbuasumbua ni za nini? Na wewe kama kumbe unapinga Muungano kwa kuua Mapadri kutoka Bara, nawe utakamatwa. Nasikua wenzao wanegam8a Msumbiji, je ni kwelu?
 

Kuupinga Muungano wa Tanzania ni uhaini?​

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…