Sio siri ney wa mitego nae ni mwanaume

muafi

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2015
Posts
2,557
Reaction score
6,128
Mimi na uanaume wangu huu lakini serikali ya jiwe naiogopa kama nini
Naogopa kusema chochote

Lakini huyu ney wamitego hasikii naona bado anamsimamo, wasanii wote wameufyata
Kuna bwana mdogo anaitwa Roma mkatoliki enzi hizo tulikua tukimuona ndio shujaa lakini kumbe ni nyuki wa mashineni sasaivi anameufyata anakata viuno😁😁😁😁

Lakini huyu mwanaume Ney yeye msimamo wake uko palepale sio siri ni jasili

Hongera ney Wa mitego umewakomboa wanaume Wa dar

Ngoja niendelee kuburudika na hizi kibao safi toka kwa ney Wa mitego

#ALISEMA
 

Umeandika kama mzaha; lakini ni jambo zito sana. Hata mimi nashangaa ujasiri wake.
 
Post ya mwanaume wa dar
Ni kweli, kusema mwanaume wa dar lakini tambua mwanaume ni yule yule wa leo hata jana na kesho.. Sioni upungufu wowote kudai huyu mwanaume wa dar mnavyowachukulia ni tofauti.
 
Tuwekee link. Hapa tuidownlad mkuu
 
Mwanaume unapousifia "UANAUME WA MWANAUME MWENZIO" inabidi sisi nao tuanze kuhoji kuhusu UKAMILIFU WA UANAUME WAKO
Fikra yako inakupeleka kwa kuwa upotofu, kwahyo watu wanaomsifia Magufuli kuwa ni mtendaji bora mbona hamuwahoji kuhusu maneno yao na uanaume wao.. Tena wengi wanahama vyama na ni wanaume?
 
Hii ni kauli nzito sana,tusiipuuze..hasa kwa mleta huu uzi,jitafakari..
Unajitafakari nini umbea, ufitina na upotofu wa kufikiria.. Kwani msanii wa kiume anapofanya kazi nzuri hapaswi kusifiwa na mwanaume kisa uanaume wake?
 
Angekuwa mwanaume angemchana mwanzo mwisho lkn kauma na kupuliza ubeti wapili anasema maendeleo anayaona na anasifia, kisha akawaponda jamaa zangu wa ufipa wasipingepinge kila kitu, jiwe atake nini tena tena?

Na simu ya kumpongeza nasikia kapiga jifanye sasa mwanaume upeleke bendera chuma, mlingoti chuma uuone moto wake.
 
Ndiyo ninayo kwa kuwa Jf ni ya watu na siyo ya wadudu[emoji23]
Haha sasa siujitambulishe tu kuwa ni wewe kuliko kufungua uzi nakujifanya kuwa una sifiwa na shabiki
 
Ni kweli, kusema mwanaume wa dar lakini tambua mwanaume ni yule yule wa leo hata jana na kesho.. Sioni upungu wowote kudai huyu mwanaume wa dar mnavyowachukulia ni tofauti.
Mkuu
Mwanaume wa mkoani hawezi kuandika post kama hii trust me
Mikoani kila mtu shujaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…