muafi
JF-Expert Member
- Oct 6, 2015
- 2,557
- 6,128
Mimi na uanaume wangu huu lakini serikali ya jiwe naiogopa kama nini
Naogopa kusema chochote
Lakini huyu ney wamitego hasikii naona bado anamsimamo, wasanii wote wameufyata
Kuna bwana mdogo anaitwa Roma mkatoliki enzi hizo tulikua tukimuona ndio shujaa lakini kumbe ni nyuki wa mashineni sasaivi anameufyata anakata viuno😁😁😁😁
Lakini huyu mwanaume Ney yeye msimamo wake uko palepale sio siri ni jasili
Hongera ney Wa mitego umewakomboa wanaume Wa dar
Ngoja niendelee kuburudika na hizi kibao safi toka kwa ney Wa mitego
#ALISEMA