Sio siri ney wa mitego nae ni mwanaume

Mwanaume unapousifia "UANAUME WA MWANAUME MWENZIO" inabidi sisi nao tuanze kuhoji kuhusu UKAMILIFU WA UANAUME WAKO

Vipi kuhusu yule jamaa wa pale kama unaenda feri aliyesema wale jamaa wa Barick ndo wanaume hasa!
 
Kasema nini kwani ? Ngoja apelekwe alipo pelekwa Roma halafu ndio tumpime kwa ujasiri wake
 
Sijaona kitu chochote alichoimba cha kuogopesha,kaimba pumba tuuu yaaaaan kawaida sana!! .... Au mtoa mada amedata na icho kiitikio cha wimbo tu
 
Sijaona kitu chochote alichoimba cha kuogopesha,kaimba pumba tuuu yaaaaan kawaida sana!! .... Au mtoa mada amedata na icho kiitikio cha wimbo tu
Ili ukione chochote alichoandika na kuimba labda ulitaka aandike na kuimba nini boss!!
 
Pale unapomsifia mwanaume mwenzio... sawa tumesikia, hivi unatokea dar sehemu gani?
 
Like
 
Kawaida sana, ule Parapanda wa RomaXStamina unaogofya zaidi ya huu wa Ney. Halafu huyo Ney unayemsifia bado hajapelekwa kule kwa waminya pumbu so huwezi muweka kundi moja na Roma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ