Aisee acha kumdanganya mwenzio...Mpige surprise visit, utajua mawazo yote.
Karibu sana jamvini Mamy...Pole sana,hebu jaribu kukaza moyo japo kwa wiki moja tu nawe uwe kimya kbs no calls no sms alafu uone atakutafuta au anye atapotezea,ukiona kimya fanya tu mapago mwingine maana hapo lazima atakuwa na mwingine na hana mapenzi nawe tena.
Inabidi umsome na kufahamu mapungufu ya mpz wako hapo mtaishi kwa furaha sana but ukiangalia nani anamfanyia nini mwenzie utaumia kweli!may be... but nimevumilia huu ni mwaka wa pili ila naumia tu rohoni dah... mwisho uvumilivu utanishinda
Hujambo mjukuu wangu mpenzi?Km kwa mda wa miaka miwili tangu mlivoanzana ndivo alivo,na sio kwamba kabla alikuwa anakupigia na mlikua mnachati tatizo liko wapi?
Mie nakushauri ujitoe hofu kwan sio kwamba kabadilika wanaume wengine ndivo walivyo na inawezekana akawa anakupenda kweli.
Sometime mwanaume ni km watoto km tangu mwanzon ww ulimzoesha hivo amoni itakuwa ngumu kumbadilisha,cha msingi ni kuzoea tu hiyo hali na sio kuwaza mambo mabaya.
Karibu sana jamvini Mamy...
Waweza niambia mimi babu wa wajukuu, kuwa huyu mwathirika wa upweke anaweza kufanya mpango gani mwingine hapo? Atongoze wanaume au?
Cjambo kbs my swty Babu,Hujambo mjukuu wangu mpenzi?
Hata mie babu yako ni kama mtoto?
26 ndugu yanguSamahani kama nitakukwaza...
How old are you baby?
Km kwa mda wa miaka miwili tangu mlivoanzana ndivo alivo,na sio kwamba kabla alikuwa anakupigia na mlikua mnachati tatizo liko wapi?
Mie nakushauri ujitoe hofu kwan sio kwamba kabadilika wanaume wengine ndivo walivyo na inawezekana akawa anakupenda kweli.
Sometime mwanaume ni km watoto km tangu mwanzon ww ulimzoesha hivo amoni itakuwa ngumu kumbadilisha,cha msingi ni kuzoea tu hiyo hali na sio kuwaza mambo mabaya.
Hali zenyu bhana! Hope hamjambo wanajamii wenzangu. mimi ni ke nina b/f wangu yupo mkoani. To be honestly ninampenda jamani. Tatizo ni kwamba yeye haoneshi kama ananipenda. Naweza m-call hata cku tatu mfululizo yeye wala hata hastuki akacall back, najikaza ili aanze lakini najikuta tu mi ndo naanza kumpigia ili tu roho yangu iridhike, nashindwa kujicontrol.. sms ndo kwanza mpaka nimuulize umepata sms yangu ndo anakujibu, TENA jibu lenye la kawaida sana kama anamjibi man mwenzie. NATAMANI KUSIKIA I LOVE, NATAMANI KUSIKIA I MISS U, NATAMANI MANENO MATAMU YA KIMAPENZI TOKA KWA MTU NINAYEMPENDA. lakini siyapati naumia natamani kuachana naye ila roho yangu bado inampenda kwa kweli. Me binafsi napenda sana kuchat, kuongea hasa nyakati za ucku ukizingatia tupo mbali walau tupeane pole, tuambiane maneno matamu matamu ila yeye mkavu sana katika maongezi cjui hani-feel??? Tena ndio huwa wa kwanza kuaga utadhani kapiga yeye. Nashindwa kupata jibu yuko upande gani, nikijaribu kuumuuliza anasema yuko sawa. Mara nyingi hana story jamani nifanyeje........ naumia kwa kweli........
Orayt..... wee u mjukuu mwema sana.Cjambo kbs mt swty Babu,
Inawezekana kbs ukawa ndio mtoto mkubwa kwa bibi yetu mama matesha aisee!
Aisee! Huyu babu huyu....... Sasa kama ulikuwa unanisoma kama guest mbona ulikuwa hunigongei LIKE? Alafu.... tangu lini busara za babu zikawa vituko?:A S-coffee:Asante sana babu,Nilikuwa nikikusoma tu vituko vyako na wajukuu hatimaye leo nimechati nawe,mie namshauri kama ahata kwa mda huo ataona huyo mpenzi wake hahangaiki naye heri acahane naye tu asiendelee kuumia atulie baada ya muda aili ikitulia awe na mpenzi mwingine.
Inabidi umsome na kufahamu mapungufu ya mpz wako hapo mtaishi kwa furaha sana but ukiangalia nani anamfanyia nini mwenzie utaumia kweli!
Hongera zako mwaya, me kuzipata hizo mpk cjui mvua inyeshe! mpk nahisi cjui huwa kuna mtu ambaye huwa anamwambia me ananibaniapole sana......dah.....kumbe am lucky eeh......
Bado kijana mdogo sana....26 ndugu yangu
Ucjali my swty Babu,huyu inaonekana alishaizimia familia yetu tangu akiwa km guest,nilimkaribisha JF,Orayt..... wee u mjukuu mwema sana.
BTW umemuona huyu mjukuu mpya hapa chini? Waweza mleta kwa ukaguzi? Hebu mkaribishe kwenye familia yetu kwanza..... naona kama atatufaa huyu!
Aisee! Huyu babu huyu....... Sasa kama ulikuwa unanisoma kama guest mbona ulikuwa hunigongei LIKE? Alafu.... tangu lini busara za babu zikawa vituko?:A S-coffee:
Hali zenyu bhana! Hope hamjambo wanajamii wenzangu. mimi ni ke nina b/f wangu yupo mkoani. To be honestly ninampenda jamani. Tatizo ni kwamba yeye haoneshi kama ananipenda. Naweza m-call hata cku tatu mfululizo yeye wala hata hastuki akacall back, najikaza ili aanze lakini najikuta tu mi ndo naanza kumpigia ili tu roho yangu iridhike, nashindwa kujicontrol.. sms ndo kwanza mpaka nimuulize umepata sms yangu ndo anakujibu, TENA jibu lenye la kawaida sana kama anamjibi man mwenzie. NATAMANI KUSIKIA I LOVE, NATAMANI KUSIKIA I MISS U, NATAMANI MANENO MATAMU YA KIMAPENZI TOKA KWA MTU NINAYEMPENDA. lakini siyapati naumia natamani kuachana naye ila roho yangu bado inampenda kwa kweli. Me binafsi napenda sana kuchat, kuongea hasa nyakati za ucku ukizingatia tupo mbali walau tupeane pole, tuambiane maneno matamu matamu ila yeye mkavu sana katika maongezi cjui hani-feel??? Tena ndio huwa wa kwanza kuaga utadhani kapiga yeye. Nashindwa kupata jibu yuko upande gani, nikijaribu kuumuuliza anasema yuko sawa. Mara nyingi hana story jamani nifanyeje........ naumia kwa kweli........
Orayt..... wee u mjukuu mwema sana.