Sisi wakongwe na mauzoefu ya miaka kumi ya ndoa... pamoja na kufanya yale makitu ya infii usiyoyapendaga.... haiwezi pita siku bila kumjulia hali wa ubani.... yaani hata nikiwa job najikuta natext kiduchu japo kumtania kwa salam......... sasa hawa madogo wakiwa bado na manguvu na mashamsham ya mapenzi nlitegemea yasipite masaa mawili bila kuwasiliana, leo naambiwa two good years watu wanawekeana longolongo afu bado mmoja anaishi kwa matumaini ya mapenzi.....Over my dead body!
Haya mapenzi bana, ndio maana hakuna shule ya mapenzi. Watu wangefeli sana!