Hehehe.... ina maana siku nyingine huwa namwaga mipumba siyo?.........(.Sasa hiyo ni bahati au bahati mbaya? Na kama kingekuwepo? Usinijibie kwa hapa nijibu kwa PM):juggle::juggle:Daaah! Katika siku ulizoongea point babu, hii mojawapo.
KBD says thank you for zis useful post...............unabahati kibatani cha kushumu hamna..........lol
Asante sana babu,Nilikuwa nikikusoma tu vituko vyako na wajukuu hatimaye leo nimechati nawe,mie namshauri kama ahata kwa mda huo ataona huyo mpenzi wake hahangaiki naye heri acahane naye tu asiendelee kuumia atulie baada ya muda aili ikitulia awe na mpenzi mwingine.
Pole, naona dalili za manyoya...
Inawezekana ni mfanyakaz huyo boy wako.Mambo ya chartin niya ki primary mdada,take a cal tu.
Mim nina gf a wik kan pas without mawasiliano,na si kwamba hatupendan,majukumu yanatufanya kuwa hivyo..
Labda nirudi darasani tena nijifunze nini maana ya Mahusiano ya Kupendana......:A S-coffee:Hivi inawezekana kweli kuwa kwenye mahusiano na mtu halafu ipite siku nzima.........namaanisha masaa 24 bila salamu wala nini????? Na sio kwamba kuna shida yoyote kwa mmoja wenu....... na bado uniambie eti mnapendana sana...........:smash::smash::smash::smash::alien::alien:
Hehehe.... ina maana siku nyingine huwa namwaga mipumba siyo?.........(.Sasa hiyo ni bahati au bahati mbaya? Na kama kingekuwepo? Usinijibie kwa hapa nijibu kwa PM):juggle::juggle:
Labda nirudi darasani tena nijifunze nini maana ya Mahusiano ya Kupendana......:A S-coffee:
Hahahaha wewe nawe.... Dont take JF too serious...Source:Kaizer😛hoto:Hahahahahahaaaaaaaaaaa! Inawezekana ni point kwa wengine ila kwangu inakuwaga sio.......... hasa ile mineno yako ya kutetea ma-inf, siyapendagi yale laiti ungelikuwa unajua jinsi gani unaniuzi..............lol. BT haki yako ya kutoa maoni naiheshimu mpaka basi
Hahahaha wewe nawe.... Dont take JF too serious...Source:Kaizer😛hoto:
Sisi wakongwe na mauzoefu ya miaka kumi ya ndoa... pamoja na kufanya yale makitu ya infii usiyoyapendaga.... haiwezi pita siku bila kumjulia hali wa ubani.... yaani hata nikiwa job najikuta natext kiduchu japo kumtania kwa salam......... sasa hawa madogo wakiwa bado na manguvu na mashamsham ya mapenzi nlitegemea yasipite masaa mawili bila kuwasiliana, leo naambiwa two good years watu wanawekeana longolongo afu bado mmoja anaishi kwa matumaini ya mapenzi.....Over my dead body!Tafadhali babu naomba unichukue na mimi huko darasani......maana mashikholo mageni kabisa.
hahaha babu naona hauentertain kabisa stress za ajabu ajabu mmh! to you stress free life z possible lolz, guuud!Sisi wakongwe na mauzoefu ya miaka kumi ya ndoa... pamoja na kufanya yale makitu ya infii usiyoyapendaga.... haiwezi pita siku bila kumjulia hali wa ubani.... yaani hata nikiwa job najikuta natext kiduchu japo kumtania kwa salam......... sasa hawa madogo wakiwa bado na manguvu na mashamsham ya mapenzi nlitegemea yasipite masaa mawili bila kuwasiliana, leo naambiwa two good years watu wanawekeana longolongo afu bado mmoja anaishi kwa matumaini ya mapenzi.....Over my dead body!
Haya mapenzi bana, ndio maana hakuna shule ya mapenzi. Watu wangefeli sana!
Mbona hujanigongea LIKE? Hebu kagonge bana kikojoleo changu kisisimke....!hahaha babu naona hauentertain kabisa stress za ajabu ajabu mmh! to you stress free life z possible lolz, guuud!
hapo vp kimesimama tayarii teh!Mbona hujanigongea LIKE? Hebu kagonge bana kikojoleo changu kisisimke....!
Wpole bibie cha msing atafuta wakukupa hayo maneno matamu hapo unapoishi sasa fimbo ya mbali haiuwi nyoka
Sisi wakongwe na mauzoefu ya miaka kumi ya ndoa... pamoja na kufanya yale makitu ya infii usiyoyapendaga.... haiwezi pita siku bila kumjulia hali wa ubani.... yaani hata nikiwa job najikuta natext kiduchu japo kumtania kwa salam......... sasa hawa madogo wakiwa bado na manguvu na mashamsham ya mapenzi nlitegemea yasipite masaa mawili bila kuwasiliana, leo naambiwa two good years watu wanawekeana longolongo afu bado mmoja anaishi kwa matumaini ya mapenzi.....Over my dead body!
Haya mapenzi bana, ndio maana hakuna shule ya mapenzi. Watu wangefeli sana!
Hiyo ni rahisi sana kudelete kwenye cm ila kichwani ninazo namba zake zote hata nikiamshwa asbh nazitaja hapo ndo nachoka kabisaaa. so kudelete hakunisaidiiTo start with, delete jina lake kwenye phonebook yako..... Ukishadelete niambie.
Hiyo ni rahisi sana kudelete kwenye cm ila kichwani ninazo namba zake zote hata nikiamshwa asbh nazitaja hapo ndo nachoka kabisaaa. so kudelete hakunisaidii
Mbona hujanigongea LIKE? Hebu kagonge bana kikojoleo changu kisisimke....!