Sio siri ninaumia

 
Ukishikwa shikamana, usiposhikwa achana nae
Na wewe nyuti tu, na akikuuliza sijui nini na wewe umjibu simple tu,
Halafu tafuta Mtakae pendana, hapo naona wewe ndo unapenda ila yeye hapendi
Umeingizwa chaka tena chafu lenye harufu ya uozo
Ondoka huko mapema kabla hujazurika
 
Karibu sana jamvini Mamy...

Waweza niambia mimi babu wa wajukuu, kuwa huyu mwathirika wa upweke anaweza kufanya mpango gani mwingine hapo? Atongoze wanaume au?

ODM closer closer
 
[h=2]POLE
It's A Desperate Situation KWA KWELI... MIE KIMYA ...[/h]
 
mara nyingi mapenzi yanapoanza kunakuwa na hamu na bashasha kubwa ya kuwa karibu through physical contacts, calls, sms etc; kutokana na kuzoeana, majukumu, baadhi ya watu kupata 'kile walichokuwa wanataka' etc, mawasiliano huanza kupungua... pamoja na hali hiyo, ni vizuri wapenzi wakajitahidi kutenga muda wa mawasiliano kati yao coz hii huwaweka karibu na kujenga imani kwamba wote wawili mko kwenye 'same page'
 
Babu jamani maneno gani hayo sasa.............mi naona aibu bana:sad::sad::sad::sad:
Sehemu nyingine uwe unavaa miwani ya mbao.....😛hoto:
 

very possible... hata wiki mnaweza kukata depending on prevailing circumstances
 

mamy D back to topic, huyu babu ni mchakachuaji mkubwa wa thread halafu na yule mwenzake Krolokwin akija hapa ndio itakua balaa...
 
mamy D back to topic, huyu babu ni mchakachuaji mkubwa wa thread halafu na yule mwenzake Krolokwin akija hapa ndio itakua balaa...
Aisee usinikumbushe tena..... huu mgomo wa madaktari umenisababishia kumkosa jamvini fellow tablet..... Alifumaniwa anapiga chabo kule Tandale kwa mtogole. Ile spoku aliyochomwa bado tunasubiri huruma ya madaktari waitoe jamaa yetu arudi kumwaga mapwenti ya kigreti thinkaz hapa....

Utafiti unaonyesha tangu afumaniwe, mauzo ya pweza katika soko la Tegeta yamepungua sana.

Baada ya kusema hayo.... pigeni magoti tumwombee aendelee kupata ujasiri wa kuishi kwa matumaini
 
Semeni ukweli hv kuna mtu anayependa kikukweli akakosa kujari mhh chezea wwe upendo wwe ulivyopenda unaona unavyojari iweje yeye kauka week ukiona kimya tafuta mwingine
 
 


:lol::lol::lol:
 
very possible... hata wiki mnaweza kukata depending on prevailing circumstances

Hebu msome huyu hapa ambae namuunga mkono na miguu.

Semeni ukweli hv kuna mtu anayependa kikukweli akakosa kujari mhh chezea wwe upendo wwe ulivyopenda unaona unavyojari iweje yeye kauka week ukiona kimya tafuta mwingine
 
We asipate taabu hii mutu napenda wewe ila mwanaume wengi tatiso apana jua sema hii mambo ya wasungu mala lofu yuu, mala miss yuu. Ila afumbue jicho hii mutu nawesa kuwa na nyako ingine huko.
 
Pole mdada. Wengine hayo ndio maisha yetu ya kila siku. Inauma lakini utafanyaje? Mimi naona hapo 'compartibility' katika kipengele cha mahusiano ni utata, na pengine inaweza ikaashiria ( au isiashirie labda) mengineyo.
Mimi naona mawasiliano ndio daraja la nyoyo/nafsi zozote mbili na zaidi sana nafsi zilizo katika mahusiano. Kwahiyo daraja hilo likiwa na ufa, ubao uliochomoka, sijui tunafanyaje sasa? Either kuvumilia au kuchukua maamuzi mazito .eg. kuji surprise kama walivyosema wengine au kama unaona hilo kwako ni key issue sana, basi ujivue gamba.
Maana panapo majaliwa ukakaa na mtu kama huyo maishani i.e mkawa mke na mume, utavumilia? au ndio donda la nafsi litakuwa ndugu?
All in all pole yetu!
 

ongea nae, tell him what you expect from him. tupo vijana tuliolelewa kigumu na haya mambo ya caring tunajifunza ukubwani so bila kuelekezwa ni ngumu kufahamu
 
kuna watu wengine are not emotionally open...mwanzo alikuwa mtu wa maloveydavi au?
 
Mpige surprise visit, utajua mawazo yote.

Kwa lugha nyingine unamshauri akafumanie? Eti Dada mtoa mada kisaikolojia umejiandaa kufumania? Halahala tusije tukapoteza memba mmu mana wengine wakifumania huwa wanachukua maamuzi magumu na ndo mana jela zimejaa wahanga wa kufumania/kufumaniwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…