100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Kipindi hiki ndio kipindi ambacho wanajamba kijambo kinachotoa harufu kali sanaMwisho wao umefika. Huo ndio ukweli mchungu wasiotaka kuusikia. Hii iwe fundisho.
Kahaba mwisho wake utakuwa mbaya sanaMtandao wa ufisadi, mauaji, wizi , utekaji, madili feki na kila aina ya uchafu ni mkubwa sana, ni chain ndefu na network kubwa sana.
Na wanaofanya hivyo ni wanufaika ambao ni mawaziri, wakurugenzi, wabunge, wakubwa wa vyombo vya ulinzi na usalama , wafanya biashara wakubwa, makada, viongozi wa taasisi n.k. Hao wote ni wanufaika wakubwa ikwemo wana familia wao na marafiki wa karibu/ndugu.
Hio chain yote wanaelewa nini kinakwenda kuwatokea baada ya parapanda kulia, hofu imetawala.
Hio network ni kubwa na ndio wanamdanganya akomae hadi dakika za mwisho asikubali, maana akikubali amesaliti gang yote, na hapo kuna hatari wakammaliza, hana budi kuyaoga maana ameshayavulia.
Akikubali kufuata mawazo ya wananchi, waliopo kwenye hio chain watafungwa, watanyongwa, wengi watakimbia nchi na kuacha nyuma kila kitu ikiwemo familia zao.
Hivyo wanaunganisha nguvu kwa pamoja na kupambana kwa nguvu zao zote, wapo katika hatua ya kufanya lolote kwa mtu yeyote ili kujiokoa dhidi ya kile kinachokuja mbele yao.
Wapo radhi kuhonga pesa walizoiba kiasi chochote, wapo radhi kuua, kuteka , kutesa yeyote anayeonekana kuwa kinyume na wao hata kama ni mwenzao.
Usingizi sasa wanapata wa mang'amung'amu, appetite ya kula haipo, pesa imekuwa chungu, moja haikai mbili haikai, wanaigiza nje wapo strong lakini wapo very weak ndani yao, usicheze na damu za watu, tazama sasa walipofika. Hizo pesa mbona haziwapi amani?
Mwisho wao umefika. Huo ndio ukweli mchungu wasiotaka kuusikia. Hii iwe fundisho.
Bahati mbaya ni kwamba hiyo 95% iliyobaki haijitambui!Kwa ufupi hapo ni kundi dogo sana la watanzania ambalo halifiki hata 5% ya population yote ndio inatumia nguvu yooote hii kupambana na 95% iliyobaki.
Kama kile kijambo Sativa alidai usiombee ukutane na mafwele anakujambia ushuz wa kunde usoni unapoteza fahamu ukizinduka tu vitasa.Kipindi hiki ndio kipindi ambacho wanajamba kijambo kinachotoa harufu kali sana
Busu la KengeKama kile kijambo Sativa alidai usiombee ukutane na mafwele anakujambia ushuz wa kunde usoni unapoteza fahamu ukizinduka tu vitasa.
Mkuu uko sahihi kabisa…hofu imewajaa sio mchezo…na kuna tetesi za taarifa kuwa mama na familia yake yote ipo Mwanza kwa mpango maalumu wa kutoroka kwenda Uganda na zimeandaliwa helikopta za kumbeba yeye na familia yake yote ikiwa tarehe 29, nyomi ikiingia barabarani au kikiwaka.Mtandao wa ufisadi, mauaji, wizi , utekaji, madili feki na kila aina ya uchafu ni mkubwa sana, ni chain ndefu na network kubwa sana.
Na wanaofanya hivyo ni wanufaika ambao ni mawaziri, wakurugenzi, wabunge, wakubwa wa vyombo vya ulinzi na usalama , wafanya biashara wakubwa, makada, viongozi wa taasisi n.k. Hao wote ni wanufaika wakubwa ikwemo wana familia wao na marafiki wa karibu/ndugu.
Hio chain yote wanaelewa nini kinakwenda kuwatokea baada ya parapanda kulia, hofu imetawala.
Hio network ni kubwa na ndio wanamdanganya akomae hadi dakika za mwisho asikubali, maana akikubali amesaliti gang yote, na hapo kuna hatari wakammaliza, hana budi kuyaoga maana ameshayavulia.
Akikubali kufuata mawazo ya wananchi, waliopo kwenye hio chain watafungwa, watanyongwa, wengi watakimbia nchi na kuacha nyuma kila kitu ikiwemo familia zao.
Hivyo wanaunganisha nguvu kwa pamoja na kupambana kwa nguvu zao zote, wapo katika hatua ya kufanya lolote kwa mtu yeyote ili kujiokoa dhidi ya kile kinachokuja mbele yao.
Wapo radhi kuhonga pesa walizoiba kiasi chochote, wapo radhi kuua, kuteka , kutesa yeyote anayeonekana kuwa kinyume na wao hata kama ni mwenzao.
Usingizi sasa wanapata wa mang'amung'amu, appetite ya kula haipo, pesa imekuwa chungu, moja haikai mbili haikai, wanaigiza nje wapo strong lakini wapo very weak ndani yao, usicheze na damu za watu, tazama sasa walipofika. Hizo pesa mbona haziwapi amani?
Mwisho wao umefika. Huo ndio ukweli mchungu wasiotaka kuusikia. Hii iwe fundisho.
🤣🤣🤣Huu uzi kuna watu wanauogopa hata kuufungua tu
Hatatoka niamini.Mkuu uko sahihi kabisa…hofu imewajaa sio mchezo…na kuna tetesi za taarifa kuwa mama na familia yake yote ipo Mwanza kwa mpango maalumu wa kutoroka kwenda Uganda na zimeandaliwa helikopta za kumbeba yeye na familia yake yote ikiwa tarehe 29, nyomi ikiingia barabarani au kikiwaka.
Kabla ya uchaguzi walikuwa wanajistukia uovu waliofanya lakini hapo hapo wakawa na tamaa za kuendeleza ufisadi wakadanganyana Watanzania ni nyumbu, sasa tamaa zikawazidi , wakaona wafanye wafanyavyo waingie kuiba na Watz hawatofanya lolote watawadhibiti.Ni mchanganyiko wa vyote, humo humo tamaa ya madaraka, ili waendelee kupiga na humo humo hofu ya kulipa kwa uovu
Polepole aliwaambia watarusha maboya.Kabla ya uchaguzi walikuwa wanajisukia uovu waliofanya lakini hapo hapo wakawa na tamaa za kuendeleza ufisadi, sasa tamaa zikawazidi , wakaona wafanye wafanyavyo waingie kuiba, kilichotokea upepo umebdilika halafu jahazi lipo katikati ya maji, kurudi hawawezi na kuingia majini hawawezi watazama.
Na genge lake pia, hao mtandao/ wahuni (kikwete, Rostam na wengine) hawapaswi kuachwa huru, hawa watu ni hatari kwa maslai ya taifa hili.. tumefika hapa tulipo sababu ya hao *******…sasa imetosha…No more 🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿Hatatoka niamini.
amedhibitiwa vizuri sana , tena miongoni mwa wanaomdhibiti ni miongoni mwa anaowaita team yake ya ushindi .
Niwaambie wakuu , Rais huwa hatolewagi Ikulu kwa makasiliko ,Mama alitamani , aligoma kushauriwa vinginevyo,sasa unadhani unamuobdoaje zaidi ya kutumia njia ndefu , hii anaondoka Bro .