Sio Tamaa ya Madaraka, Bali Hofu ya Kulipa Gharama za Uovu

Kabisaa
 
Nimevikumbuka hivi vitabu vya riwaya za Kiswahili
Ama zao ama zetu
Kikosi cha kisasi
Tutarudi na roho zetu
 
Huu ndo ukweli. Na wanapambana kuukataa na kutoutaka mtandao ni wengiii pia wana backup ya watanzania. Ila wanaosema na kutoa directions ni wachache. Wanatakiwa kuwa wengi sanaaaa na watanzania wawape ushirikiano kwa vitendo.
Hali ya maisha ni ngumu sana kwani umetegwa mrija ambao unanyonya tu mtu masikini na hawezi toboa,huku wao wakineemeka na kuwa matajiri wa kutupwa.
Mkuu mleta mada una akili sana.

Wake up watanzania.
 
...kweli ghiliba na hadaa huwa zina mwisho..mara 4Rs mara Maridhiano..kunbe janja janja..sasa kipo wapi???..
 
...kweli ghiliba na hadaa huwa zina mwisho..mara 4Rs mara Maridhiano..kunbe janja janja..sasa kipo wapi???..
Imefikia hatua anashindwa hata kuongea na kuahidi sera za maana, sera za kupambana na 'ufisadi' akihofia kuchukiza network iliyopo, hii itaonekana kawasaliti kwa sababu ni mwenzao. Na pia nafsi inamsuta maana ye mwenyewe mwizi.

Mtu una ahidi watu utachanja kuku bure...
 
Hofu na wasiwasi umetamalaki
Watawala hofu juu ya mstakabali wao baada ya uchaguzi
Endapo waandamanaji wakifanikiwa nchi itasimama Kwa muda mauaji yatatokea sehemu mbalimbali
Vyombo vya habari vya nje vitatoa taarifa zitakazozidisha chuki na machafuko
 
Ubaya ubwela wa nyomi ya mange Kimambi haiwezi kufanikiwa kwa sababu tu wahamsishaji wakuu wa nyomi wako nchi za nje! Hii kampeni ingekuwa imeshikwa na mtu yuko ndani ya nchi hapo lazima wangesalimu amri!
 
Angetokea mwehu mmoja tu kule mabakamabaka akakohoa na kuingiza kikosi kimoja barabarani wananchi wangepata ujasiri wa kuingia barabarani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…