Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,391
- 21,045
MessiMfano mzuri, Ronaldinho
Park ji-sang
Yao Ming.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MessiMfano mzuri, Ronaldinho
Park ji-sang
Yao Ming.
Wapuuzi hawatoisha kwa kweli.Kufanya ngoma na hamissa Ni show off
Sasa show off gani hizo ambazo yeye hazipendi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkorinto agiza kinywaji nalipia.kikubwa anajua kuimba ni mwanamuziki.
hayo ya kujieleza tumwachie waziri mkuu,kipindi cha maswali ya papo kwa papo bungeni.
kwani wewe unataka kusikia nini kutoka kwa alikiba,tofauti na music????
Sent using Jamii Forums mobile app
Umejibiwa unaanza kutukana watu wewe unataka kuskia mziki wake au unataka kuskia anaongea nini?
Au akivaa miwani ya macho.Matanzania mengi yasiyo jielewa na hayajaenda shule na mambumbumbu yanachanganya kiingereza na uwezo wa akili, mtu akiongea kiingereza au kuimba yanaamini ana akili sana. Kweli elimu ni muhimu
Sisi tunataka Muziki wake kujieleza kwake hatuna shida napo mkuu...jamaa akishatoaga ngoma ikawatoa kwenye reli huwa mnakuja na upuuzi mwiiiiingi kutuliza maumivu...ungeileta kabla ya ngoma ya dodo now tupo busy kidogo tuacheni.Hoja ya msingi ni kutojua kujieleza naona wengi wanachangia nje ya hoja.
mtu wanamdiss halafu kutwa kutafuta kaongea nini,anaishije.Sisi tunataka Muziki wake kujieleza kwake hatuna shida napo mkuu...jamaa akishatoaga ngoma ikawatoa kwenye reli huwa mnakuja na upuuzi mwiiiiingi kutuliza maumivu...ungeileta kabla ya ngoma ya dodo now tupo busy kidogo tuacheni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahahaaaa umegonga paleeeee na wanaojua kingereza vizuri wooote wapo chini yakeHapa Tanzania sio Alikba tu kingereza nikgumu kwa wote , hadi Magufuli awezi kuzungumza Lugha ya kingereza kwa Ufasaha.
Shebeleza tuliicheza hapa hata maana hatujui...ngoma za kina awilo,Kofi olomide, defao Muziki una lugha yake peke yake wenyewe unajieleza kwa melodies taaaaamu siyo huo upuuzi wanaouwazaMkuu kiingereza =IQ unataka kutuambia, mziki ni lugha ambayo kila mtu anaielewa mtu ata akiimba kizuru,kispanyola kama anaimba fresh tu, verse ,melody kali watu wanamwelewa ,kwa mfano check ngoma ya luis fonsi na daddy yanky decipacito dunia nzima wanajua kispanyola? Ni music language tu wameilewa , tunaweza sema music is the language ambayo aihusiani kabisa na lugha tunazoongea
Ndo africa yetu aisee
Jamaa anataka nini sijui? Maana ye kazi yake kusikiliza mziki labda anataka awe motivational speaker kama mkuu ulivyosemaKwani kawa motivation speaker, anatuimbia vizuri inatosha!
Kama unahisi ukiimba tu bila vitu vingine ndio utafanikiwa. Basi tambua mna mfalme dhaifu sana.Sisi tunataka Muziki wake kujieleza kwake hatuna shida napo mkuu...jamaa akishatoaga ngoma ikawatoa kwenye reli huwa mnakuja na upuuzi mwiiiiingi kutuliza maumivu...ungeileta kabla ya ngoma ya dodo now tupo busy kidogo tuacheni.
Sent using Jamii Forums mobile app