Sio tu hajui kiingereza! Ali kiba hajui kujieleza

Hoja ya msingi ni kutojua kujieleza naona wengi wanachangia nje ya hoja.
Sisi tunataka Muziki wake kujieleza kwake hatuna shida napo mkuu...jamaa akishatoaga ngoma ikawatoa kwenye reli huwa mnakuja na upuuzi mwiiiiingi kutuliza maumivu...ungeileta kabla ya ngoma ya dodo now tupo busy kidogo tuacheni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mtu wanamdiss halafu kutwa kutafuta kaongea nini,anaishije.

si msikilize msanii unayeona hakukwazi akiongea!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani kawa motivational speaker, anatuimbia vizuri inatosha!
 
Shebeleza tuliicheza hapa hata maana hatujui...ngoma za kina awilo,Kofi olomide, defao Muziki una lugha yake peke yake wenyewe unajieleza kwa melodies taaaaamu siyo huo upuuzi wanaouwaza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
acheni kumsakama mtoto mzuri alikiba, akinuna anaeza asitoe ngoma hata miaka miwili tena tukabaki kulalama tu
 
Kama unahisi ukiimba tu bila vitu vingine ndio utafanikiwa. Basi tambua mna mfalme dhaifu sana.
 
King kiba

G.O.A.T wa mziki wa Bongo Fleva katoa ngoma moya tu mitandao ya afrika mashariki imesimama,

Kujieleza kisutu hapa tunataka mziki mzuri tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…