Sio ukanda au ukabila, suala la ulinzi ni very critical, Kupunguza idadi ya watu wa ile kanda jeshini kutazamwe upya

round kick

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2025
Posts
345
Reaction score
1,145
Sio jambo la aibu wala ukabila, suala la ulinzi ni very critical ukikosea step kuna consequnces kubwa, Nchi kama India wameweza kubadilisha uwakilishi katika idara nyingi lakini kwenye jeshi hawajagusa asna, bado wanaendelea kuwaamini na kuwapa vipaumbele jamii ya wasihi (sikhs), by nature hawa watu wanaweza kazi za jeshi

Kama taifa kuna kutafuta balance kundi flani la watu lisijae sana kwenye idara ya ulinzi ni very critical, sio ya kuguswa guswa sana.

Ni jambo moja kupata nafasi ya kwenda jeshini kujifunza kulenga shabaha, kuonyesha uwezo pale uwanja wa taifa, kulipwa mshahara, ile heshima ya kujulikana ni mwanajeshi, vyeo, n.k. lakini ni jambo jingine na tofauti kabisa kuingia vitani.

Historia yetu imeonyesha wazi kipindi cha vita na Uganda nafasi zilitangazwa kila mkoa kwa wanaotaka kwenda vitani, mikoa mingi sana walisita kwasababu sio ajira ya kwenda kozi ukihitimu uvae gwanda na kupata heshima bali ilikuwa ni kwenda kwenye mapambano na lolote litatokea.

Sina maana ya kusema kwamba sehemu nyingine hatuna watu wenye dna ya vita, wala msifikiri hivyo, kila mkoa wapo ila tunaangalia pattern ya sehemu yenye watu wengi wenye dna ya vita, ni tangu enzi za ukoloni watu wa kanda hio waliaminiwa na wakoloni kwenye mission za kivita.

Nyerere kafanya kazi kubwa sana kuwapunguza, Nchi inapata uhuru aliwakuta wengi sana jeshini ilibidi afumue na asuke upya jeshi kwa kupunguza uwakilishi wao hasa nafasi za uongozi.

vita ya Uganda Nyerere alitoa idadi sawa kwa kila mkoa kwa wanaotaka kwenda vitani, alifanya hivi maksudi kuwapunguza watu wa ile kanda, nafasi zilizotolewa mkoa wa ile kanda zilijazwa fasta sana, njia pekee ya watu wa huko kupata nafasi kuingia jeshini ilibidi waanze kwenda mikoa mingine kujaza nafasi za wazi,, hio mikoa mingine waliyoenda kulikuwa kuna watu shupavu wapo tayari kwenda vitani lakini nado kulikuwa na nafasi zilibaki wazi, hapa ndipo unapoona gap la dna ya vita. zingetangazwa nafasi za kwenda jeshini nchi ikiwa na amani watu wangezigombania lakini kwenda jeshini ukijua unaingia vitani hilo ni suala lingine kabisa.

Miaka inavypozidi kwenda watu wa hio kanda wamekuwa wakipungua sana na ni kwa malengo ya kutafuta balance lakini hii inaweza kuleta madhara kwa kuzingatia sekta ya ulinzi ni critical sana.

Sisemi wajae sana bali waenee hata 35 %
 
duuh code ngumu sana hii..bila shaka Vijana wa Musoma unawagusa..wanawakilisha vyema sana kwenye medani za vita..
 
Askari anatakiwa kuwa na akili zaidi ya nguvu. Nyerere aliwapendelea watu wa kwao na akili zenu zikadumaa kuamini kuwa hao ni wanafaa kuwa Askari. Hii nchi imepiganwa vita vya Maji maji, na walipigina ni watu wa kusini, vita za Msumbiji wapiganaji wametokea huko kusini mikoa ya kanda ya ziwa wao ni kushiba ugali na kupiga wake zao, ila kwenye kutumia akili na mbinu sahihi ni 0.
Gen Mwamunyange, Twalipo, Mkunda wameongoza na wanaongoza kwa akili na sio kuamini kwenye nguvu.
Teknolojia imebadilika sana, uwekezaji unafanya utumiaji wa nguvu kupungua ama kuondoka kabisa.
 
utopolo mtupu
 
Baba yangu mzazi na wazee wengine kibao kutoka Lushoto walikuwa mstari wa mbele kwenye vita na hawatokei kanda anayotaja muandishi. Imrani Kombe aliongoza vijana wenzake wakitanzania kwenye kombania yake wakatoka na ushindi, huyu mwandishi anamatatizo ya ukabila, ukanda na ubinafsi. Vijana wanaokufa kwenye mission ni watanzania ambao hawatoki kanda ya ziwa. Ujinga wa mwandishi......
 
Askari anatakiwa kuwa na akili zaidi ya nguvu. Nyerere aliwapendelea watu wa kwao na akili zenu zikadumaa kuamini kuwa hao ni wanafaa kuwa Askari. Hii nchi imepiganwa vita vya Maji maji, na walipigina ni watu wa kusini, vita za Msumbiji wapiganaji wametokea huko kusini mikoa ya kanda ya ziwa wao ni kushiba ugali na kupiga wake zao, ila kwenye kutumia akili na mbinu sahihi ni 0.
Gen Mwamunyange, Twalipo, Mkunda wameongoza na wanaongoza kwa akili na sio kuamini kwenye nguvu.
Teknolojia imebadilika sana, uwekezaji unafanya utumiaji wa nguvu kupungua ama kuondoka kabisa.
Nyerere alishawakuta wamejaa tangu enzi za jeshi la kikoloni, Nyerere kafanya kazi kubwa sana kuwapunguza, angekuwa na upendeleo kungekuwa hakuna haja ya watu wa huko kwenda mikoa mingine kujaza nafasi.

Vita ya majimaji ya Kinjikitile Ngwale aliewaaminisha wanajeshi kugeuza risasi ziwe maji ilikuwa ya makabila ya kusini kabla nchi haijapata uhuru.

Pia sijasema kwamba watu wa sehemu nyingine hawawezi, wapo lakini tunaangalia pattern
 
Siasa ndio zilivyo. Hata Magufuli alimsamehe Nappe akamrudisha kundini.

Na utajuaje, huenda January aliomba asamehewe.
 
Sio jambo la aibu wala ukabila, suala la ulinzi ni very critical ukikosea step kuna consequnces kubwa, Nchi kama India wameweza kubadilisha uwakilishi katika idara nyingi lakini kwenye jeshi hawajagusa asna, bado wanaendelea kuwaamini na kuwapa vipaumbele jamii ya wasihi (sikhs), by nature hawa watu wanaweza kazi za jeshi

Kama taifa kuna kutafuta balance kundi flani la watu lisijae sana kwenye idara ya ulinzi ni very critical, sio ya kuguswa guswa sana.

Ni jambo moja kupata nafasi ya kwenda jeshini kujifunza kulenga shabaha, kuonyesha uwezo pale uwanja wa taifa, kulipwa mshahara, ile heshima ya kujulikana ni mwanajeshi, vyeo, n.k. lakini ni jambo jingine na tofauti kabisa kuingia vitani.

Historia yetu imeonyesha wazi kipindi cha vita na Uganda nafasi zilitangazwa kila mkoa kwa wanaotaka kwenda vitani, mikoa mingi sana walisita kwasababu sio ajira ya kwenda kozi ukihitimu uvae gwanda na kupata heshima bali ilikuwa ni kwenda kwenye mapambano na lolote litatokea.

Sina maana ya kusema kwamba sehemu nyingine hatuna watu wenye dna ya vita, wala msifikiri hivyo, kila mkoa wapo ila tunaangalia pattern ya sehemu yenye watu wengi wenye dna ya vita, ni tangu enzi za ukoloni watu wa kanda hio wamekuwa wakitumika,

Nyerere kafanya kazi kubwa sana kuwapunguza, Nchi inapata uhuru aliwakuta wengi sana jeshini ilibidi afumue na asuke upya jeshi kwa kupunguza uwakilishi wao hasa nafasi za uongozi.

vita ya Uganda Nyerere alitoa idadi sawa kwa kila mkoa kwa wanaotaka kwenda vitani, alifanya hivi maksudi kuwapunguza watu wa ile kanda, nafasi zilizotolewa mkoa wa ile kanda zilijazwa fasta sana, njia pekee ya watu wa huko kupata nafasi kuingia jeshini ilibidi waanze kwenda mikoa mingine kujaza nafasi za wazi,, hio mikoa mingine waliyoenda kulikuwa kuna watu shupavu wapo tayari kwenda vitani lakini nado kulikuwa na nafasi zilibaki wazi, hapa ndipo unapoona gap la dna ya vita. zingetangazwa nafasi za kwenda jeshini nchi ikiwa na amani watu wangezigombania lakini kwenda jeshini ukijua unaingia vitani hilo ni suala lingine kabisa.

Miaka inavypozidi kwenda watu wa hio kanda wamekuwa wakipungua sana na ni kwa malengo ya kutafuta balance lakini hii inaweza kuleta madhara kwa kuzingatia sekta ya ulinzi ni critical sana.

Unaweza kuwa na mazoezi mengi sana, una elimu ya mambo ya jeshi, cheo, n.k. lakini vita ni kitu kingine kabisa
Acha wapungue tu...dunia ikiongozwa na Donald Trump haitaki huo ujinga wa kuendekeza vita badala ya kuimarisha uchumi na kuboresha hali za watu...!

Wazungu washaanza kumgeuka Kagame hapo kwa vita yake ya DRC...vita siyo ujanja sana, ni ujinga na Trump atawakomesha wapenda vita wote!
 
Yani unampa mmatumbi na mchaga silaha akapigane uwanja wa vita na unategemea ushindi
Hao unaowataja kihistoria walikuwa na resistance Kali kivita dhidi ya wakoloni kuliko hao wengine unaosema Wana DNA ya vita. Wenye DNA ya vita walikubali kutawaliwa toka siku ya mwanzo wakoloni walipoingia..
Mangi Sina na mangi Meli ni wachaga waliounganisha jamii Yao ikasimama vilivyo kuupiga vita ukoloni..
Pia wamatumbi ni Moja ya jamii zilizojitolea damu zao kupigana dhidi ya Ukoloni na wakoloni katika Maji maji war .
Nb. Soma historia
 
Hao wenye DNA ya vita kama usemavyo walikubali mapema tu bila resistance kumtumikia mzungu lakini wazaramo, wachaga, wangoni, wamatumbi ni aina ya wanavita wa mwanzo kutoka nchi hiyo waliokataa kutawaliwa na wazungu
 
Kama unayo DNA ya vita bila akila basi huna tofauti na wale wanaojitoa muhanga kwakuwa wana DNA za udini.
 
Sio jambo la aibu wala ukabila, suala la ulinzi ni very critical ukikosea step kuna consequnces kubwa, Nchi kama India wameweza kubadilisha uwakilishi katika idara nyingi lakini kwenye jeshi hawajagusa asna, bado wanaendelea kuwaamini na kuwapa vipaumbele jamii ya wasihi (sikhs), by nature hawa watu wanaweza kazi za jeshi

Kama taifa kuna kutafuta balance kundi flani la watu lisijae sana kwenye idara ya ulinzi ni very critical, sio ya kuguswa guswa sana.

Ni jambo moja kupata nafasi ya kwenda jeshini kujifunza kulenga shabaha, kuonyesha uwezo pale uwanja wa taifa, kulipwa mshahara, ile heshima ya kujulikana ni mwanajeshi, vyeo, n.k. lakini ni jambo jingine na tofauti kabisa kuingia vitani.

Historia yetu imeonyesha wazi kipindi cha vita na Uganda nafasi zilitangazwa kila mkoa kwa wanaotaka kwenda vitani, mikoa mingi sana walisita kwasababu sio ajira ya kwenda kozi ukihitimu uvae gwanda na kupata heshima bali ilikuwa ni kwenda kwenye mapambano na lolote litatokea.

Sina maana ya kusema kwamba sehemu nyingine hatuna watu wenye dna ya vita, wala msifikiri hivyo, kila mkoa wapo ila tunaangalia pattern ya sehemu yenye watu wengi wenye dna ya vita, ni tangu enzi za ukoloni watu wa kanda hio wamekuwa wakitumika,

Nyerere kafanya kazi kubwa sana kuwapunguza, Nchi inapata uhuru aliwakuta wengi sana jeshini ilibidi afumue na asuke upya jeshi kwa kupunguza uwakilishi wao hasa nafasi za uongozi.

vita ya Uganda Nyerere alitoa idadi sawa kwa kila mkoa kwa wanaotaka kwenda vitani, alifanya hivi maksudi kuwapunguza watu wa ile kanda, nafasi zilizotolewa mkoa wa ile kanda zilijazwa fasta sana, njia pekee ya watu wa huko kupata nafasi kuingia jeshini ilibidi waanze kwenda mikoa mingine kujaza nafasi za wazi,, hio mikoa mingine waliyoenda kulikuwa kuna watu shupavu wapo tayari kwenda vitani lakini nado kulikuwa na nafasi zilibaki wazi, hapa ndipo unapoona gap la dna ya vita. zingetangazwa nafasi za kwenda jeshini nchi ikiwa na amani watu wangezigombania lakini kwenda jeshini ukijua unaingia vitani hilo ni suala lingine kabisa.

Miaka inavypozidi kwenda watu wa hio kanda wamekuwa wakipungua sana na ni kwa malengo ya kutafuta balance lakini hii inaweza kuleta madhara kwa kuzingatia sekta ya ulinzi ni critical sana.

Unaweza kuwa na mazoezi mengi sana, una elimu ya mambo ya jeshi, cheo, n.k. lakini vita ni kitu kingine kabisa
Kwahiyo wewe unataka hilo kundi lijae sana?
 
Point ya mleta mada ni nini haswa?

Ninaona mafumbo tu na manung'uniko.
 
Back
Top Bottom