round kick
JF-Expert Member
- Feb 3, 2025
- 345
- 1,145
Sio jambo la aibu wala ukabila, suala la ulinzi ni very critical ukikosea step kuna consequnces kubwa, Nchi kama India wameweza kubadilisha uwakilishi katika idara nyingi lakini kwenye jeshi hawajagusa asna, bado wanaendelea kuwaamini na kuwapa vipaumbele jamii ya wasihi (sikhs), by nature hawa watu wanaweza kazi za jeshi
Kama taifa kuna kutafuta balance kundi flani la watu lisijae sana kwenye idara ya ulinzi ni very critical, sio ya kuguswa guswa sana.
Ni jambo moja kupata nafasi ya kwenda jeshini kujifunza kulenga shabaha, kuonyesha uwezo pale uwanja wa taifa, kulipwa mshahara, ile heshima ya kujulikana ni mwanajeshi, vyeo, n.k. lakini ni jambo jingine na tofauti kabisa kuingia vitani.
Historia yetu imeonyesha wazi kipindi cha vita na Uganda nafasi zilitangazwa kila mkoa kwa wanaotaka kwenda vitani, mikoa mingi sana walisita kwasababu sio ajira ya kwenda kozi ukihitimu uvae gwanda na kupata heshima bali ilikuwa ni kwenda kwenye mapambano na lolote litatokea.
Sina maana ya kusema kwamba sehemu nyingine hatuna watu wenye dna ya vita, wala msifikiri hivyo, kila mkoa wapo ila tunaangalia pattern ya sehemu yenye watu wengi wenye dna ya vita, ni tangu enzi za ukoloni watu wa kanda hio waliaminiwa na wakoloni kwenye mission za kivita.
Nyerere kafanya kazi kubwa sana kuwapunguza, Nchi inapata uhuru aliwakuta wengi sana jeshini ilibidi afumue na asuke upya jeshi kwa kupunguza uwakilishi wao hasa nafasi za uongozi.
vita ya Uganda Nyerere alitoa idadi sawa kwa kila mkoa kwa wanaotaka kwenda vitani, alifanya hivi maksudi kuwapunguza watu wa ile kanda, nafasi zilizotolewa mkoa wa ile kanda zilijazwa fasta sana, njia pekee ya watu wa huko kupata nafasi kuingia jeshini ilibidi waanze kwenda mikoa mingine kujaza nafasi za wazi,, hio mikoa mingine waliyoenda kulikuwa kuna watu shupavu wapo tayari kwenda vitani lakini nado kulikuwa na nafasi zilibaki wazi, hapa ndipo unapoona gap la dna ya vita. zingetangazwa nafasi za kwenda jeshini nchi ikiwa na amani watu wangezigombania lakini kwenda jeshini ukijua unaingia vitani hilo ni suala lingine kabisa.
Miaka inavypozidi kwenda watu wa hio kanda wamekuwa wakipungua sana na ni kwa malengo ya kutafuta balance lakini hii inaweza kuleta madhara kwa kuzingatia sekta ya ulinzi ni critical sana.
Sisemi wajae sana bali waenee hata 35 %