KERO Sio ustaarabu kuvua viatu ukiwa ofisini

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Unasababaisha mchafuko wa hali ya hewa ambao pia ni usumbufu, kero na kichefuchefu kwa wengine..

Sio kwasababu ya uchafu wa viatu vyako, uchafu wa miguu au soksi, inaweza kuwa ni tatizo la asili la kunuka miguu au tatizo la kiafya...

Usijiamini sana, harufu ya miguu yako na viatu vyako ibaki humo humo ndani ya viatu vyako tafadhali, inachefua sana kwakweli dada zangu na kaka zangu wapendwa...

Nashauri kujizuia kuvua viatu ofisini kwenu au kwako mnapokua wengi, kuepusha kero hata kwa wateja
 
HAHAHAH pole sana ila ukienda Zanzibar ndio utazimia kabisa.kuna mabo ni tamaduni za watu isee na unapohitaji kushirikiana nao basi unakuwa mpole unafuata vile maelekezo yao yanavyosema unaweza kuhisi kuwa sio ustaarabu kwao wao ndio nidhamu kubwa sana kufanya hivyo.
 
Labda wewe mchafu.....sio wote.....jiangalue ubadilikeee
 
Isije tu ikawa hizo ofisi unazo ziongelea ni zile za Lumumba, na mhusika anayetupiwa hili bomu ni comrade wako Lucas Mwashambwa.
 
Noma sana
 
Namshukuru Mungu sijawahi kuwa na shida ya harufu ya miguu wala kinywa.

Naswaki nalala na karafuu 1 mpka asubuhi kwa wiki mara 3-4. Hata asubuhi nikiswaki punje 1 ya karafuu mdomoni huyoo kwenye mihangaiko

Nasafisha vzr sehemu za ndani za vidole miguuni napaka limao, so huwa ni utaratibu wangu huo.
 
Mkuu wewe ni mzee sio
 
Mzee Grahams kwa sasa kuna mambo anafanya mpaka nashindwa pa kumweka..

Assume mtu anatetea wazee wa hovyo kwa hali na mali..

Ukiwasema wazee wa hovyo unakuta jamaa huyu hapa kutetea... Daaah
Useme kwamba Wazee humu tuna umoja.

Na huu umoja tupo nao tangu wakati ule tunamfukuza Mkoloni wa Kiingereza kwenye ardhi yetu mwaka 1961
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…