KERO Sio ustaarabu kuvua viatu ukiwa ofisini

KERO Sio ustaarabu kuvua viatu ukiwa ofisini

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Namshukuru Mungu sijawahi kuwa na shida ya harufu ya miguu wala kinywa.

Naswaki nalala na karafuu 1 mpka asubuhi kwa wiki mara 3-4. Hata asubuhi nikiswaki punje 1 ya karafuu mdomoni huyoo kwenye mihangaiko

Nasafisha vzr sehemu za ndani za vidole miguuni napaka limao, so huwa ni utaratibu wangu huo.
Basi unaringa mwenyewe 🤦
 
la miguu unajitesa bure na malimao. mtu ukitaka usinuke miguu unapaswa unapomaliza kuoga vikaushe vidole na taulo kavu. Wengi huwa hawafanyi hivyo.
mengine ya karafuu uko sahihi big up
 
Aisee, mi ndiyo zangu hizo; na wala sijawa kero kwa mtu...niko maridadi..!
 
Tena wengine wanaweka bingo
Limeandikwa,tafadhali vua viatu au usiingie na viatu

ova
mstaarabu anae jijua harufu yake ya miguuni, na anae jali afya za wengine anagoma kuingia anachungulia tu kwa nje anaweza kuvunga amawahi majali :pulpTRAVOLTA:
 
Back
Top Bottom