KERO Sio ustaarabu kuvua viatu ukiwa ofisini

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Kuna siku hiyo karafuu unayolala nayo itakuja kukukwama kooni kama autojinyea unaweza kukata moto
 
Democracy,,uhuru wa kunyoosha miguu
ofisi ni kazi kazi tu,
sasa unakuta mkaka ama mdada ametoka home kavaa vizuri tu viatu vyake vya kutumbukiza, na akifika ofisini anavua na kuvaa viatu vya wazi vya mikanda, apo sasa hali ya hewa hubadilika unaanza kusingizia wafanya usafi kwamba labda wametumia maji kunuka kusafisha ofisi, kumbe miguu ya fulani iko wazi dah
 
Labda wewe mchafu.....sio wote.....jiangalue ubadilikeee
sio ustaarabu kuvua viatu ofisini, ni muhimu zaidi kuzingatia hili

nimetahadharisha pia,
usijiamini sana kwamba hunuki miguu, huenda imeizoea na unaipenda harufu ya miguu yako mwenyewe au ukadhani hainuki kumbe ni kero mno kwa wengine wanashindwa tu kukwambia
 
Tuache kila mtu na miguu yake.
Kila mtu na ofisi yake
Kwani kuna shido
wengine wanaweza wasije tena ofisini kwako wakikutana na uzito wa harufu nzito na ngumu ya miguu ambayo huebda wewe mwenyewe unaifurahia tu...

ni muhimu kuwazingatia pia wanao tutembelea ofisini mwetu pia, wasiondoke na homa ya kichefuchefu
 
Unajuaje kama miguu yako inanuka
kama ambavyo unaweza kujua mdomo, kikwapa na pengine maeneo mengine ya mwili yanavyotoa harufu na miguu vile vile unaweza kujua yatoa harufu πŸ’

ni fedheha sana kuambiwa miguu au kitu chako mwilini mwako kina toa harufu. ni vuzuri zaid kujikagua, kujifahamu na kujiridhisha kwamba hauwi kwero kwa wengine kwa namna yoyote ile kutokana na changamoto za mwili wako πŸ’
 
Ahahahaha au sio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…