KERO Sio ustaarabu kuvua viatu ukiwa ofisini

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Basi unaringa mwenyewe 🀦
 
la miguu unajitesa bure na malimao. mtu ukitaka usinuke miguu unapaswa unapomaliza kuoga vikaushe vidole na taulo kavu. Wengi huwa hawafanyi hivyo.
mengine ya karafuu uko sahihi big up
 
Aisee, mi ndiyo zangu hizo; na wala sijawa kero kwa mtu...niko maridadi..!
 
la miguu unajitesa bure na malimao. mtu ukitaka usinuke miguu unapaswa unapomaliza kuoga vikaushe vidole na taulo kavu. Wengi huwa hawafanyi hivyo.
mengine ya karafuu uko sahihi big up
Sawa mkuu,karibu hapa Ngarenanyuki ndo nipo hapa,huku penu Meru
 
Tena wengine wanaweka bingo
Limeandikwa,tafadhali vua viatu au usiingie na viatu

ova
mstaarabu anae jijua harufu yake ya miguuni, na anae jali afya za wengine anagoma kuingia anachungulia tu kwa nje anaweza kuvunga amawahi majali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…