Sio utani tumetoka mbali..!

Sio utani tumetoka mbali..!

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
32,529
Reaction score
76,691

Sa huyu mwamba alikuwa anaimbaje...😅😂
Na alivuma dah! Mi nafikiri aina yake ya uimbaji haikuwa bongo flavor hii ilitakiwa ipewe jina lake jengine!.. by the way napenda muziki wanyumbani haswa zile za zamani..

Tulipo
 
Mr Nice alikuwa anafanya Tekeu...

Diamond unamuona mjanja wakati hiyo ni Copy ya Nigeria?
Bora Mr Nice katoa kitu original
It's not about copy it's about tuko wapi Sasa..
 
Back
Top Bottom