Sio uungwana kumchezesha mchezaji aliyefiwa na mzazi wake

Sio uungwana kumchezesha mchezaji aliyefiwa na mzazi wake

Kwani first eleven ya kila timu si inajulikana mkuu, Yanga kwa mfano Boka au Yao wapo fit utawaachaje nje ya ya kikoso
Nimeambiwa hapo kuwa mchezaji anaweza kuomba kupangwa. Hao akina Yao na Boka wapo kwenye permanent line-up bila kujali mpango wa mechi?
 
Hivi kumbe mchezaji anaweza kumuomba kocha awemo kikosini? Basi Musonda anajichelewesha, Ile nafasi ya Dube inabidi aiombe kila mechi
wachezaji wanaoomba ni kwa mfano ni chaguo la kwanza kwa kocha,na akawa majeruhi,au kufiwa na anajiona yuko fiti ndio anaomba kwa kocha kucheza,ika kama sio chaguo la kwanza ukiomba kocha hawezi kukupa nafasi
 
Mchezaji mwenyewe alionekana kabisa hayuko mchezoni halafu kuna mtu anasema eti aliulizwa kama anaweza kucheza. Tena uto wengi sana walimtukana wakati mechi inaendelea, hayo matusi yake sijui sasa apewe nani.
Una uchungu sana?
 
Pole Boka. Alionekana hayuko 100%. Pia siyo kitu cha kawaida kwenye jamii zetu za kiafrika. Kocha wa Uto (Mjerumani koko) alitakiwa afikirie × 2 kumchezesha.
 
Hivi kumbe mchezaji anaweza kumuomba kocha awemo kikosini? Basi Musonda anajichelewesha, Ile nafasi ya Dube inabidi aiombe kila mechi
Namba yake ana-share na Kibabage nakukumbusha tu mengine uwe unajiongeza
 
Back
Top Bottom