Nimeambiwa hapo kuwa mchezaji anaweza kuomba kupangwa. Hao akina Yao na Boka wapo kwenye permanent line-up bila kujali mpango wa mechi?Kwani first eleven ya kila timu si inajulikana mkuu, Yanga kwa mfano Boka au Yao wapo fit utawaachaje nje ya ya kikoso
wachezaji wanaoomba ni kwa mfano ni chaguo la kwanza kwa kocha,na akawa majeruhi,au kufiwa na anajiona yuko fiti ndio anaomba kwa kocha kucheza,ika kama sio chaguo la kwanza ukiomba kocha hawezi kukupa nafasiHivi kumbe mchezaji anaweza kumuomba kocha awemo kikosini? Basi Musonda anajichelewesha, Ile nafasi ya Dube inabidi aiombe kila mechi
Una uchungu sana?Mchezaji mwenyewe alionekana kabisa hayuko mchezoni halafu kuna mtu anasema eti aliulizwa kama anaweza kucheza. Tena uto wengi sana walimtukana wakati mechi inaendelea, hayo matusi yake sijui sasa apewe nani.
Watakuchosha akili hawa mbumbumbu achana naowachezaji wanaoomba ni kwa mfano ni chaguo la kwanza kwa kocha,na akawa majeruhi,au kufiwa na anajiona yuko fiti ndio anaomba kwa kocha kucheza,ika kama sio chaguo la kwanza ukiomba kocha hawezi kukupa nafasi
Namba yake ana-share na Kibabage nakukumbusha tu mengine uwe unajiongezaHivi kumbe mchezaji anaweza kumuomba kocha awemo kikosini? Basi Musonda anajichelewesha, Ile nafasi ya Dube inabidi aiombe kila mechi