Sio uzalendo kuunga mkono kupinduliwa kwa demokrasia

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Kwa wanaoelewa huwezi kuwa mzalendo halafu ukaunga mkono kupinduliwa kwa demokrasia waziwazi October 29.

Pigania nchi na acheni ujinga kwa kuona powa hata kama wewe sio mpinzani.

Kuna watu wengi wenye uwezo ndani hata ya CCM lakini lakini nao wameporwa ndani ya chama chao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…