sio vizuri kuwaita waliofeli divisheni 'mzunguko' ZOMBI's - tuwasapoti na kuwaheshimu

sio vizuri kuwaita waliofeli divisheni 'mzunguko' ZOMBI's - tuwasapoti na kuwaheshimu

President Elect

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
693
Reaction score
212
this is pure politics, imagine waliomaliza form six 2012, baadhi yao wanaripoti JKT wiki ijayo, sasa na wao wakitengeneza 0 za kuvunja rekodi watakimbia au watadumisha uzalendo kwa nchi yetu! kaaazi kwelikweli. hapo lazima kawambwa atabwaga manyanga!!!
 
Back
Top Bottom