President Elect
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 693
- 212
this is pure politics, imagine waliomaliza form six 2012, baadhi yao wanaripoti JKT wiki ijayo, sasa na wao wakitengeneza 0 za kuvunja rekodi watakimbia au watadumisha uzalendo kwa nchi yetu! kaaazi kwelikweli. hapo lazima kawambwa atabwaga manyanga!!!