Sio wangu peke yangu ni zamu yangu tu

Smart AJ

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2022
Posts
5,564
Reaction score
5,884
Kwa kutambua hili nadhani ni heri wanaume wenzangu tuwe tu makini kwa kweli na hawa wanawake zetu.

Sasa sina cha kushauri ila maamuzi yabaki binafsi kwa kila mtu.

Uzi huu ni kwa udhamini wa comment ya member wa jf kwa jina la hearly[emoji1487][emoji1487][emoji1487] salout sana kwako .
 
Coment ya MALCOM LUMUMBA

kicheko cha hearly
 

Kunamwingine nipo namshugulikia huku anaendelea kuwapanga maboya zake kwenye simu
 
Kiburi kinasaidia sana. Ukiwa na kiburi utakuwa unashindana na moyo wako na wakati wote utataka uuprove wrong. Mwanamke akikuletea nyodo kiburi kinakutuma umtukane halafu umblock halafu utafute mwingine. Kiburi kinakufanyaga ujiulize nimjengee nyumba yeye ni nani? Nimnunulie gari yeye ni nani? Kiburi huwa kinaruhusu matumizi ya kawaida tu kwa mwanamke na kitakupeleka kufikiria mpe hela ana njaa huyo na hakikisha anailipia. Ukiwa na kiburi ni mara chache sana kuwa heart broken kwa level ya juu kwa sababu watu wenye kiburi huwa hawafiki level za juu kwenye kumpenda mwanamke na ni wepesi sana kukubali kuachana nae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…