INAUZWA Sio ya kukosa elfu 20 tu

Sisi tunaotoka sitimbi tusiojua,tueleweshe ni nini hicho
Ni chupa
Unaweza weka kinywaji moto au baridi…
Kwa ajili ya kwendea ofisini/ safarini nk

Mkeo akitengeneza juice usiku, asbh unamwambia anakuwekea humo unaenda nayo kwenye misele yako.
 
Ok, kwa hiyo ni thermos?.
 
Ni chupa
Unaweza weka kinywaji moto au baridi…
Kwa ajili ya kwendea ofisini/ safarini nk

Mkeo akitengeneza juice usiku, asbh unamwambia anakuwekea humo unaenda nayo kwenye misele yako.
Maelezo yako yanaeleweka vizuri,kuliko muuzaji maana amenijibu ni hot cold
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…