Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tambua Rex ni The sinare na shose pia ni "The sinares"Rex Attorneys again! Owner wa hii firm si mjumbe wa bodi ya shirika letu tukufu la kuangaza maisha yetu?
Aliwatapisha hela gani?Mafisadi naona wanakuja kwa Kasi kurudisha fedha walizotapishwa na Mwendazake.
Sawa Kikwete tumekuelewa,umesharudisha wafanyakazi hewa wako,Bandari ya Bagamoyo,hata ile gauge ya kusoma mafuta bandarini nafikiri utakuwa umeikata tena.
Usisahau haya yote ni matunda ya yule Mzee wako Jiwe! Na wakishinda kesi maana yake kodi zetu ndiyo zitatumika kuwalipa fidia! Huku kukiwa hakuna faida yoyote ile kwa taifa kutokana na kuwaweka ndani kwa muda mrefu, na pasipo na mashtaka yoyote yale ya kueleweka.
Waziri wa fedha anaeshtakiwa ni yupi?Mwigulu au Mpango?kama Mpango akipatwa na hatia!je atawajibishwa ?au kujiuzulu??
12 Billion ililiwa ila walilipa kwa DPP 1.5 billion ambayo ni almost 10% ya hasara walioshtakiwa kuleta!! Sasa hapo walitapishwa nini?Mafisadi naona wanakuja kwa Kasi kurudisha fedha walizotapishwa na Mwendazake.
Sawa Kikwete tumekuelewa,umesharudisha wafanyakazi hewa wako,Bandari ya Bagamoyo,hata ile gauge ya kusoma mafuta bandarini nafikiri utakuwa umeikata tena.
Juzi nimeenda pale kumekucha kwenye mbuzi si nikakuta wameweka nyimbo ya jim reeves nikapata wenge hatari...Sinare🔥🔥🔥🔥
Bado wiki6 tuu kuwasilisha report ya 2021 mwaka kwenye ukoo
Kila binadamu akafanikiwe katika njia zake; tajiri akaongezeke zaidi na maskini akapunguze umaskini