zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Mbona anashtaki Standard Bank ilipe serikali ya Tanzania? Naona wengi hamjasoma document kabla ya kucommentnaona watu wameanza kudai hela zao sasa...
ni wakati wa ndugu zetu wanasheria kurudi kaanani sasa....namuona aunt yetu soon akitukimbia na kuwa busy hahahaha...
Mmasai kichwa ishapata moto. Alianza Rugemarila, Sioi hapa lazima kulikuwa na mashtaka ya kupikwa kuwatia ndani. Hapa inavyoonekana sioi anatingisha kibubu apate kiasi gharama zake za kupotezewa muda ili hali yeye labda alitenda kwa shinikizo toka kwa wanasiasa.(Lazima walioshitakiwa kwenye hii kesi wako pamoja incl binti yule na aliyekuwa Kamishna wa kodi)
Kuna dot ndefu hapa toka msoga mpaka utokaji wa hii fedha. Rex hawako nyuma watasimamia haki ya mteja wao ipatikane.
Rex Attorneys again! Owner wa hii firm si mjumbe wa bodi ya shirika letu tukufu la kuangaza maisha yetu?