Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,591
- 6,946
Huyu ni fundi aitwae Paulo Scholes, kaona alitoe la moyoni kuhusu mchezaji huyu kuwahi kutokea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namuunga mkono lakini pamoja na yote hayo ni huyo huyo Paul Scholes katika mechi hiyohiyo uliyopost picha hapo juu, aliachia mkwqju hapa na kiburugwa na kuiwezesha United kwenda Fainal ya Uefa 2008View attachment 2288217
Huyu ni fundi aitwae paulo Scholes, kaona alitoe la moyoni kuhusu mchezaji huyu kuwahi kutokea.
Christiano Ronaldo endapo ingetokea acheze dhidi yake angesema zaidi ya hivyo.
Suala la nani ni mchezaji bora wa muda wote halina majibu jumuishi ya nani ni zaidi.
Mfano mimi ninaamini Gaucho ndo kila kitu huku mwingine kwake ni Messi, Cr7, Pele, Ronaldo, Romario, Maradona n.k
Hivyo kila mtu yuko sahihi kuamini kile anachoona ni bora kwake na kukiweka bayana.
Na watakuwa wanakiri mmoja baada ya mwingine , Leo ni Scholes kesho atakuja Cristiano mwenyewe akiri Messi ni Bora kuliko yeyeHakuna kitu kama icho, hiyo itakua mahaba niuwe kama ambavyo mashabiki wa zidane, gaucho n.k, but kimoyoni wanajua nani mkali zaidi ya hawa.
Kila mtu ana mtazamo wake,usitake watu wafanane mitazamo.Hakuna kitu kama icho, hiyo itakua mahaba niuwe kama ambavyo mashabiki wa zidane, gaucho n.k, but kimoyoni wanajua nani mkali zaidi ya hawa.
Umeanza ubishi wa vijiweni.kwani walikua na mashindano gani wanayoshindana ili leo uwalinganishe kimafanikio?.Kila mtu alicheza kwa wakati wake kulingana na mipango ya mwalimu na kikosi slichokua nacho sasa huo ushindani wamafanikio unaouleta unasababishwa na nini?Huyo gauch ana mafanikio gani kumzidi messi? Au kumzidi hata zidane?
Amechukua vikombe vyote vikubwa kuanzia ngazi ya vilabu hadi timu ya taifaHuyo gauch ana mafanikio gani kumzidi messi? Au kumzidi hata zidane?
Mafanikio yanapimwa ktk nyanja nyingi. Kama wewe utajikita kwenye kufunga magoli na kutoa pasi za mwisho za magoli basi Messi ni bora kuliko Gaucho.Huyo gauch ana mafanikio gani kumzidi messi? Au kumzidi hata zidane?
Amechukua vikombe vyote vikubwa kuanzia ngazi ya vilabu hadi timu ya taifa