Kwa kweli...Kwa yanayoendele tutakuwa wanyonge kwa miaka mingine zaidi kama tutaendelea kumkumbatia Dewji
Kwa hiyo ulitaka mkakati wa Simba uwe ni kuifunga Yanga? Tuna kizazi cha ajabu sanaSioni dalili au mkakati wa Simba kumfunga Yanga,
Sikupingi...Kwa yanayoendele tutakuwa wanyonge kwa miaka mingine zaidi kama tutaendelea kumkumbatia Dewji
Ila kuna mwaka mlifanya kama sehemu ya mafanikio yenu ya msimu eti! Tena ilikuwa ni baada tu ya mchezaji wenu Kibu Denis kuifunga Yanga goli 2! Ubingwa mliukosa, ila mlijipongeza kwa kuifunga Yanga.Kwa hiyo ulitaka mkakati wa Simba uwe ni kuifunga Yanga? Tuna kizazi cha ajabu sana
Labda wewe siyo mpenzi wa mpira ni heri ukose ubingwa lakini umfunge YangaKwa hiyo ulitaka mkakati wa Simba uwe ni kuifunga Yanga? Tuna kizazi cha ajabu sana
Huwezi kua bingwa bila kumfunga YangaKwa hiyo ulitaka mkakati wa Simba uwe ni kuifunga Yanga? Tuna kizazi cha ajabu sana
Pyramids hakumfunga Yanga, alimuachia MC Alger awafungeHuwezi kua bingwa bila kumfunga Yanga
Sikiliza boss, mfukuze Mo halafu timu chukua wewe mbona simpo tu.Kwa yanayoendele tutakuwa wanyonge kwa miaka mingine zaidi kama tutaendelea kumkumbatia Dewji
Ni msimu upi kibu aliifunga Yanga goli mbili?Ila kuna mwaka mlifanya kama sehemu ya mafanikio yenu ya msimu eti! Tena ilikuwa ni baada tu ya mchezaji wenu Kibu Denis kuifunga Yanga goli 2! Ubingwa mliukosa, ila mlijipongeza kwa kuifunga Yanga.
Akili ya Utopolo ndio mwisho wake hapo wa kufukiri..kuifunga Simba..hata ikitolewa kwenye preliminary kwao hawaoni shidaKwa yanayoendele tutakuwa wanyonge kwa miaka mingine zaidi kama tutaendelea kumkumbatia Dewji