Sioni Facebook App katika simu yangu, nini shida ?

meddie

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
434
Reaction score
125
Sioni wala siwezi Ku access Application ya Facebook kutisimu yangu. Tatizo nini?
Imepotea tu yenyewe na hats application list za kwenye simu haipo!

Tafadhali msaada kujua kwa nini and how
 
Dogo si udownload Nyingine.(Facebook apk).

Acha Uvivu..,Changamoto nyingine tatua mwenyewe.
Na utumie akili Mungu aliyokujalia.
 
Nimefa hivyo several time kabla ya kuomba msaada ikashindikana
 
Una uzoefu na Smartphone??

Kama hauna Tafuta rafiki au Kijana yeyote mwenye uzoefu akusaidie.

Wamiliki wa Tecno bwana.
 
Sioni wala siwezi Ku access Application ya Facebook kutisimu yangu. Tatizo nini?
Imepotea tu yenyewe na hats application list za kwenye simu haipo!

Tafadhali msaada kujua kwa nini and how
mkuu ingia kwa kutumia Google Chrome ni nzur pia si lazma app
 
Una uzoefu na Smartphone??

Kama hauna Tafuta rafiki au Kijana yeyote mwenye uzoefu akusaidie.

Wamiliki wa Tecno bwana.
🤣😂🤣 nimecheka apo mwisho kinouma mshauri bac aje uku Samsung au iPhone ale rahaa
 
Back
Top Bottom