mapenzi ni hisia! kuna vitu vinaleta hisia vinatofautiana kutoka mtu mmoja na mwingine! watu wote hawawezi kuwa sana. kuna wadada wana vitu vyao kwa mwanaume vinavyompa hisia, huenda ni ucheshi wa wanaume, tabasamu, ukubwa wa mwili, misuli ya mwili, usafi wa mwili na mavazi, haiba ya mtu kama ni mpole, msiri,rangi, mwingine anapenda bolo kubwa akiona kwenye suala kuna mzigo anaweza kukupenda hapo hapo. wanawake wengi first look lazima angalie sehemu yenye zipu kwa wanamke je mashine ipo😛😉 nk. kingine zaidi mwanamke ameumbwa kusikia kadri mwanamme unavyosifia zaidi kuhusu yy ndio navyojiskia raha na kujiamini. hawa wanawake wenye matako makubwa huwa siku zote ni watu wenye furaha sana. free stress maana wanasifiwa sana, kila hatua mbili lazima watapigiwa milunzi ama kusalimiwa kwa utani. utasikia yaliyomo yamo🙂 Mungu alikuumba J3 akiwa ametulia.
wanaume wao ni tofauti sana na wanawake wao wanaangalia zaidi body japo wapo wachache wanavutiwa na u smart wa mwanamke kama ana akili darasani, muelewa, asieyekuwa na makuu ila wengi zaidi hasa Africa tunaangalia zaidi umbo, mwanaume ameumbwa kwenye kuona ndipo anatamani. kuna umbo la mwanamke hapa kila mmoja ana kigezo chake, maziwa, chuchu, rangi, tako, nywele, kiuno, shangingi anajua hili linajua game balaa, ataenjoy zaidi maana hakuna wanamme anayependa demu mwenye aibu chumbani.
based on my exprience