Sioni faida yoyote ya wamatumbi kuwa Katika mapenzi ya kudumu au ndoa

mwehu ndama

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2019
Posts
2,472
Reaction score
9,542
Akili zetu wamatumbi hazina uwezo wa kuhimili misukosuko ya kimahusiano.

Na wengi wenu mnaingia Katika mtego wa kamari hii ya kihisia Kwa mihemko na nyege za vipindi.

Mapenzi na ndoa vimeguka chanzo kikuu cha misiba ,sonona na maumivu ya milele Kwa sisi wamatumbi weusi wa ngozi mpaka nyuchi.

Sioni faida yoyote ya wamatumbi kuwa Katika mapenzi ya kudumu au ndoa, zaidi ya kuzalisha jamii katili na yenye maumivu.
Natoa wito Kwa wamatumbi kupeana utamu bila kuwepo na maagano ya kudumu baina yenu. Zalishaneni watoto na muwalee Kwa style mzijuazo pasipo kuhusisha utapeli wenu wa kihisia..

Tofauti na hivyo nyumbu nyingi za kimatumbi zitaendelea kutoana roho

 
Sasa wakioana na kupigana kwa mapenzi yao, wewe kinakuuma nini?
 
Baada ya kusoma User name ya mleta mada,nimeamua nisichangie kitu hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…