Sioni haja ya CCM kufanya kampeni

ni heri kuwepo na mfumo wa chama kimoja kuliko hv sasa
 
Mliokalilishwa ujinga,utakuwa unatokea mkoa mmoja maskini kabisa wenda Rukwa
 
Kwenye uchaguzi vyama vya upinzani viko 17 vitakashiriki uchaguzi baada ya Chadema kujitoa

Hivyo CCM itapambana na vyama 17 vya upinzani kwenye sanduku la kura
hivyo navyo ni vyama vya upinzani au ni michosho tu? Hakuna upinzani hapo
 
Ni Bora hizo fedha zijenge barabara za mitaa kuliko kuziharibu unatumia bill 300 kwenye ujinga na upumbavu.watz tusiwe kama kuku bandani tupambane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…