Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
- Thread starter
-
- #41
No!He is still living in most of his sukumagang troops!
Katiba inaruhusu matokeo ya Urais kuhojiwa mahakamani? Je iliyopo inaruhusu Rais kushtakiwa Kwa makosa yoyote aliyoyafanya akiwa madarakani? Tuanzie hapo!Yanaweza sana kwenda bila mazungumzo.
Katiba inaruhusu vyama vya kisiasa kufanya shughuli zake.
Mazungumzo ya nini tena?
Hoja yako ni ipi hasa?Katiba inaruhusu matokeo ya Urais kuhojiwa mahakamani? Je iliyopo inaruhusu Rais kushtakiwa Kwa makosa yoyote aliyoyafanya akiwa madarakani? Tuanzie hapo!
Sheria ya vyama iliyofanyiwa marekebisho mwaka Jana iliweka conditions za mikutano ya hadhara!! So as much as katiba itaruhusu shughuli za vyama vingi ila Sheria ime define mipaka na haki za vyama.Yanaweza sana kwenda bila mazungumzo.
Katiba inaruhusu vyama vya kisiasa kufanya shughuli zake.
Mazungumzo ya nini tena?
Hayo ndo mapungufu makubwa yalotufikisha hapa kama Nchi. Mazungumzo lazima kuweka sawa ulingo wa KISIASA, Viongozi wajue BOSS ni MWANANCHI.Hoja yako ni ipi hasa?
Conditions zilizowekwa ni zipi hizo?Sheria ya vyama iliyofanyiwa marekebisho mwaka Jana iliweka conditions za mikutano ya hadhara!! So as much as katiba itaruhusu shughuli za vyama vingi ila Sheria ime define mipaka na haki za vyama.
So maridhiano yatahusisha kufanya ammendment Ili mikutano ya hadhara iwe basic right ya vyama vya Siasa Sio kama sasa inapotaka wakati wa uchaguzi pekee
Umenena vema sana Nyani NgabuToka Freeman Mbowe atoke jela/ gerezani, ameshakutana na Rais Samia mara kadhaa sasa.
Bado sijui na sielewi kwa nini hasa wamekuwa wakikutana kutana.
Ni kweli kuwa Mbowe alikamatwa na kufungwa kimakosa.
Mtu yeyote aliye na chembe ya akili kwenye ubongo wake analijua hilo.
Kwenye nchi zilizostaarabika, mtu anayekamatwa na kufungwa kimakosa huwa anastahili kulipwa fidia ya usumbufu alioupata na muda alioupoteza.
Lakini nchi yetu hii iliyo ni jamhuri na ndizi, hakuna cha fidia. Unaswekwa jela kwa amri ya Rais, unatolewa kwa amri ya Rais. Halafu baadaye Rais huyo huyo anakuita nyumbani kwake ukanywe juisi na kutafuna karanga na biskuti, na wewe unaenda. Ngoma inaisha.
Kwa watu tulio wahalisia wa mambo na tusiopenda kuyafanya mambo marahisi yawe magumu, mara nyingi huwa tunapenda kufuata taratibu zilizopo.
Kwa msingi huo, mimi sioni sababu wala tija yoyote kwa hawa CHADEMA kukutana kutana na Rais mara kwa mara.
Kinachohitajika kwa sasa ni Rais na chama chake kilichopo madarakani kufuata tu katiba iliyopo, basi.
Kama katiba inayotumika sasa inaruhusu vyama vingi vya siasa viwepo na inaruhusu vyama hivyo kufanya shughuli zake nchini kwa mujibu wa sheria, basi na viachwe vifanye hizo shughuli.
Hakuna haja wala sababu ya kuvizuia. Katiba inaruhusu. Kwa nini wewe uende kinyume na katiba na kuvizuia?
Yaani kuna mambo mengine ni marahisi tu lakini baadhi ya watu hupenda kuyafanya yawe changamani.
Fuateni katiba. Acheni kuonea watu. Ni hivyo tu.
Lipi lililo gumu katika hayo?
Uko sahihi kabisa. Ni suala la kufuata katiba tu. Na vyombo vya dola vikijua kwamba kinachofuatwa ni katiba, vitakaa katikati bila kuegemea upande. Navyo vitafuata katiba.Yanaweza sana kwenda bila mazungumzo.
Katiba inaruhusu vyama vya kisiasa kufanya shughuli zake.
Mazungumzo ya nini tena?
Hapo ndipo tutaipata Tanzania iliyo halisi. Sasahivi watu wengi wanafanya maigizo ili walinde teuzi zao na mama hajui. Wanampa hadi ushauri mbaya wa kumuweka ndani Mbowe kwa kesi za michongo ili waendelee kubaki kula keki. Mtangulizi wake aliasisi siasa za hovyo sana. Huyu naye anapata taabu kuachana nazo na kufuata katiba.Ikifuatwa katiba si chama ndio kinakufa kabisa cha kijani!!unafikiri mikutano ya hadhara ikiruhusiwa kuna mtu atatka kujua MAMA yupo wapi leo badala ya Mbowe leo anahutubia wapi!!!na hakuna atakaye fuatilia mikutano ya mama na atafunikwa na chama chake!!!
Unafikiri hawapendi kuweka public hicho walichokizungumza? Yule wanayeongea naye ndiye hapendi kiwe public kwa sababu yanayoongelewa yanahitaji kufuata katiba tu (yamo kwenye katiba). Kama kila alipokutana na wapinzani yangewekwa wazi wanayozungumza, watu wa kijani (wale wasiojua), wangejua kwamba wanaiongoza nchi kwa kuiburuza. Viongozi wa upinzani wanapenda sana kuongea publicly kile kinachojadiliwa kule kwa sababu watu wakikijua kinawapa political mileage.Siasa zetu ngumu sana.
Top officials wa vyama wanakutana.
Hawaweki agenda public.
Wala hawatuambii walichokubaliana.
Angalau basi wangekua hata wanafanya press kila baada ya hiyo mikutano.
Ila kama wanajadili maswala ya biashara zao basi wasiwe wanatuwekea hizo taarifa za mikutano yao publicly bila kutuambia agenda za mikutano na nini wamekubaliana.
Lakini wakati wa mtangulizi wake hukuyasema haya.Katiba ifuatwe tu.
Hakuna kilicho kigumu hapo!
Denial?! You will suffer mourning him for the rest of your life! Hata huu uzi wako ni maombolezo tu Nyani! Wenye kusoma between the lines, wanaona maumivu yako kuhusu maendeleo ya siasa za baada ya mwendazake!No!
Actually he occupies a lot of real estate in his haters’ heads.
Basically living rent free in the heads of folks like you, who can’t keep his name out of your mouths.
Nani aliweka marekebisho hayo? Jiwe?Sheria ya vyama iliyofanyiwa marekebisho mwaka Jana iliweka conditions za mikutano ya hadhara!! So as much as katiba itaruhusu shughuli za vyama vingi ila Sheria ime define mipaka na haki za vyama.
So maridhiano yatahusisha kufanya ammendment Ili mikutano ya hadhara iwe basic right ya vyama vya Siasa Sio kama sasa inapotaka wakati wa uchaguzi pekee
Katiba inasimamiwa na manyani au binadamu?,binadamu hufanyaje kazi bila kukutana? Acha ulipyotoToka Freeman Mbowe atoke jela/ gerezani, ameshakutana na Rais Samia mara kadhaa sasa.
Bado sijui na sielewi kwa nini hasa wamekuwa wakikutana kutana.
Ni kweli kuwa Mbowe alikamatwa na kufungwa kimakosa.
Mtu yeyote aliye na chembe ya akili kwenye ubongo wake analijua hilo.
Kwenye nchi zilizostaarabika, mtu anayekamatwa na kufungwa kimakosa huwa anastahili kulipwa fidia ya usumbufu alioupata na muda alioupoteza.
Lakini nchi yetu hii iliyo ni jamhuri na ndizi, hakuna cha fidia. Unaswekwa jela kwa amri ya Rais, unatolewa kwa amri ya Rais. Halafu baadaye Rais huyo huyo anakuita nyumbani kwake ukanywe juisi na kutafuna karanga na biskuti, na wewe unaenda. Ngoma inaisha.
Kwa watu tulio wahalisia wa mambo na tusiopenda kuyafanya mambo marahisi yawe magumu, mara nyingi huwa tunapenda kufuata taratibu zilizopo.
Kwa msingi huo, mimi sioni sababu wala tija yoyote kwa hawa CHADEMA kukutana kutana na Rais mara kwa mara.
Kinachohitajika kwa sasa ni Rais na chama chake kilichopo madarakani kufuata tu katiba iliyopo, basi.
Kama katiba inayotumika sasa inaruhusu vyama vingi vya siasa viwepo na inaruhusu vyama hivyo kufanya shughuli zake nchini kwa mujibu wa sheria, basi na viachwe vifanye hizo shughuli.
Hakuna haja wala sababu ya kuvizuia. Katiba inaruhusu. Kwa nini wewe uende kinyume na katiba na kuvizuia?
Yaani kuna mambo mengine ni marahisi tu lakini baadhi ya watu hupenda kuyafanya yawe changamani.
Fuateni katiba. Acheni kuonea watu. Ni hivyo tu.
Lipi lililo gumu katika hayo?
Yes JPM ndio aliweka Sheria ngumu hivo
Ndugu yangu Nyani Ngabu naamini wewe siyo mgeni hapa Tanzania. Uvunjifu wa Katiba umekuwepo kwa muda mrefu sana chini ya CCM,mbaya zaidi ni pale wenye mamlaka ya maamuzi(wananchi) wamewekwa kando na hawana pa kusemea.Yanaweza sana kwenda bila mazungumzo.
Katiba inaruhusu vyama vya kisiasa kufanya shughuli zake.
Mazungumzo ya nini tena?
Niliyasema sana tu.Lakini wakati wa mtangulizi wake hukuyasema haya.
🤣🤣🤣🤣Denial?! You will suffer mourning him for the rest of your live! Hata huu uzi wako ni maombolezo tu Nyani! Wenye kusoma between the lines, wanaona maumivu yako kuhusu maendeleo ya siasa za baada ya mwendazake!
Natofautiana nawwe sana unaposema Mbowe alikamatwa kimakosa na anastahili fidia. Anaetakiwa kusema mtu huyu hana kosa ni mahakama ambayo baada ya kusikiliza pande zote mbili ilimkuta na kesi ya kujibu, ina maana kuna kosa lilikuepo. Katikati ya kesi waliomshtaki waliamua kutoendelea na kesi kwasabbu wanazozijua wenyewe na mahakama haiwezi kuwalazimisha kuendelea kumshtaki. Hivyo, hili haliwezi kumfanya mbowe aonekane hakuwa na hatia.Toka Freeman Mbowe atoke jela/ gerezani, ameshakutana na Rais Samia mara kadhaa sasa.