Hiyo ilikua zamani kaka. Usiishi kwa historia, angalia alama za nyakati. Mbowe juzi katoka jela akajifanya kuzunguka mitaani, nadhani uliona mwitikio ulivyokua. Utadhani Hashim rungwe spunda alivyokua kwenye kampeni za ubwabwa.Ikifuatwa katiba si chama ndio kinakufa kabisa cha kijani!!unafikiri mikutano ya hadhara ikiruhusiwa kuna mtu atatka kujua MAMA yupo wapi leo badala ya Mbowe leo anahutubia wapi!!!na hakuna atakaye fuatilia mikutano ya mama na atafunikwa na chama chake!!!