Sioni haja ya kukutana, Naona haja ya kufuata Katiba

Hiyo ilikua zamani kaka. Usiishi kwa historia, angalia alama za nyakati. Mbowe juzi katoka jela akajifanya kuzunguka mitaani, nadhani uliona mwitikio ulivyokua. Utadhani Hashim rungwe spunda alivyokua kwenye kampeni za ubwabwa.
 
Huu ushauri ungewapa CHADEMA maana wao ndo wanaotaka Katiba mpya.
 
Tatizo ni UNAANZIA WAPI?
Kumbuka unaongelea wafe wangap, akina nani, wabaki wangap?
Huitaji kuwa jasiri tu, unahitaji kuwa pia na utambuzi wa akili na uwezo wa adui yako!
Kama adui wa taifa ni ccm bas tukubaliane adui huyo bado ana nguvu mno!
Mbaya zaid ni kama tunataka kubadili tu aina ya shetan! Hakuna chama mbadala bado.
Kwa elimu hii ya kujitambua na afya hii ya kiuchumi, bora tujadiliane tu humu watuonee huruma wajibrand for good!
Maana imebak njia moja tu ya kubadili mambo, tena iwe na back up ya nje (IF YOU WANT PEACE........)
" .... Maskini hana kiapo...."
 
Huu ushauri ungewapa CHADEMA maana wao ndo wanaotaka Katiba mpya.
Pole sukuma gang, una maoni Gani baada ya Mwenyekiti wenu kukubali katiba mpya. Hata kiongozi wa sukuma gang Luhaga Mpina naye kaunga mkono katiba mpya. Wewe nobody endelea na matusi mtandaoni katiba mpya hiyo njiani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…