BOB LUSE
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 3,738
- 3,199
Niende kwenye Hoja,
1) Nina laini ya simu niliyosajilia Sim Banking, kwanini nikiweka hela kwenda Benki nakatwa, nikirudisha kwenye laini ileile toka Bank, nakatwa Tena! Kwanini mfumo usitofautishe namba za wateja wao na miamala ya malipo? Mbona ukihamisha Hela kupeleka kwenye Taasisi za uwekezaji,hukatwi mara mbili,(zinapohamishwa na kurudishwa)
2) Nina laini Moja nimesajili,hiyo hiyo nimesajili kama namba ya lipa Kwa Tigo pesa ( Biashara) kwanini ninapohamisha Hela Kwa namba yangu ileile niliyosajilia kote ( Tigo pesa kawaida na lipa Kwa Tigo) nikipeleka lipa pesa ionekane kama mauzo na ninaporudisha kwenye tigo pesa laini Ile Ile,mtu yuleyule nakatwa.
Nahisi Wasomi wetu wanapo enda vyuoni kusoma akili wanaziacha huko huko, kwanini kuwe na double taxation on the same person? Halafu Bado unataka uwe kiongozi,Rais, Waziri Mungu awakemee.