Sioni kiungo kama Bruno Fernandez kwa sasa Duniani

kwahiyo mmerudi wakati hata top four hampo
 
Bruno kuna mambo anatakiwa ajifunze kutoka kwa Niyonzima Hakizimana Fadhili na Cleutos Chama Cha Mapinduzi ili aweze kuwa na sifa unazompa sasa
Duu,,yaani,,kweli wewe shabiki maandazi
 
Manyumbu nan aliwaloga lakini ilo takataka bruno ndo useme ni bora ?
 
Duh! mashabiki wa Man U wengi mpo CCM mnajua kusifia balaa bruno hafiki ata kwa Joao moutinho
Dah, hata kama ni upinzani hii mkuu umesigina, Moutinho umlinganishe na Bruno???
Mwamba kacheza gemu tano na yupo kwenye kikosi Bora cha Mwaka.
Mpeni heshima zake anazostahili.

Huyu jamaa kwa sasa yupo level za kina KDB, labda aflop mbeleni.
 

Swadakta umeeleza vizur ila bado hajafikia kiwango cha KDB,, mimi ni Manchester fan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…