Sioni Lissu akiachiwa na Samia..na issue ni Samia kashatiwa uoga

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2019
Posts
2,516
Reaction score
5,463
Mzee wangu upo humu na ninajua unapenda sana kutembelea hili Jukwaa nitakachokiandika hapa sio kipya maana nishakuambia mara kadhaa.

Nilimwambia Mzee Kila nikipima Upepo naona kabisa SAMIA hamuachii Lissu atasota nae hadi amalize mda wake 2030.

Atapokea vitisho ila hatolegeza na why hatolegeza because washauri wake wanamwambia daily hizo pressure za nje sio kitu angalia Uganda issue ya BESIGYE.

Mzee kadakwa November 16, 2024, leo 2 years inaelekea yupo ndani kuna nini kinatokea?

Samia akiona hivo anasema kumbe inawezekana!!

Washauri wanakua:Mheshimiwa ujue huyu akitoka atakupelekea moto we huoni tu Heche anavyosumbua so akitoka huyu utapigiwa kelele nyingi..na wewe elimu yako ni ndogo utaaweza shindana nalo hili?

Samia:Ukweli atanipa stress huyu, nitakosa Raha.

Washauri:Sasa suluhisho la yote haya tuendelee kumuzuia palepale UK..
 
Ni Kweli. Lissu kutoka ni kazi ngumu.

Washaur wa Samia ndio wanaendelea kumsagia Kunguni Lissu.
Hasa kwa kuwa washamwendea na maridhiano kadha wa kadha na Lissu akayapiga chini na kuyaropoka.

Kesi ishakuwa ngumu

Miaka 2 ikitimia. Wale MaHakimu utasikia either mmoja au wawili wanastaafu au watabadilishiwa Mahakama na itachukua muda kupangiwa Hakim mwingne na huyo Hakim akija ataanza kusikiliza tena kesi upya.

Hapo ni miaka 2 mingne.
 
Usemayo ni kweli na mtu anayemlisha ujinga Samia wa kuendelea kumuweka Lissu kizuizini ni huyu shetani hapa
WhatsApp Image 2026-05-07 at 15.36.24(1)~2.jpg
FB_IMG_1784713677856.jpg
 
Mzee wangu upo humu na ninajua unapenda sana kutembelea hili Jukwaa nitakachokiandika hapa sio kipya maana nishakuambia mara kadhaa.

Nilimwambia Mzee Kila nikipima Upepo naona kabisa SAMIA hamuachii Lissu atasota nae hadi amalize mda wake 2030.

Atapokea vitisho ila hatolegeza na why hatolegeza because washauri wake wanamwambia daily hizo pressure za nje sio kitu angalia Uganda issue ya BESIGYE.

Mzee kadakwa November 16, 2024, leo 2 years inaelekea yupo ndani kuna nini kinatokea?

Samia akiona hivo anasema kumbe inawezekana!!

Washauri wanakua:Mheshimiwa ujue huyu akitoka atakupelekea moto we huoni tu Heche anavyosumbua so akitoka huyu utapigiwa kelele nyingi..na wewe elimu yako ni ndogo utaaweza shindana nalo hili?

Samia:Ukweli atanipa stress huyu, nitakosa Raha.

Washauri:Sasa suluhisho la yote haya tuendelee kumuzuia palepale UK..
Exactly, ametiwa woga kuwa ukimwachia umeondoka madarakani.... Hatamwacbia na atatoa amri kesi isiishe
 
Ni Kweli. Lissu kutoka ni kazi ngumu.

Washaur wa Samia ndio wanaendelea kumsagia Kunguni Lissu.
Hasa kwa kuwa washamwendea na maridhiano kadha wa kadha na Lissu akayapiga chini na kuyaropoka.

Kesi ishakuwa ngumu

Miaka 2 ikitimia. Wale MaHakimu utasikia either mmoja au wawili wanastaafu au watabadilishiwa Mahakama na itachukua muda kupangiwa Hakim mwingne na huyo Hakim akija ataanza kusikiliza tena kesi upya.

Hapo ni miaka 2 mingne.
Mkwere ana roho mbaya sana
 
Mzee wangu upo humu na ninajua unapenda sana kutembelea hili Jukwaa nitakachokiandika hapa sio kipya maana nishakuambia mara kadhaa.

Nilimwambia Mzee Kila nikipima Upepo naona kabisa SAMIA hamuachii Lissu atasota nae hadi amalize mda wake 2030.

Atapokea vitisho ila hatolegeza na why hatolegeza because washauri wake wanamwambia daily hizo pressure za nje sio kitu angalia Uganda issue ya BESIGYE.

Mzee kadakwa November 16, 2024, leo 2 years inaelekea yupo ndani kuna nini kinatokea?

Samia akiona hivo anasema kumbe inawezekana!!

Washauri wanakua:Mheshimiwa ujue huyu akitoka atakupelekea moto we huoni tu Heche anavyosumbua so akitoka huyu utapigiwa kelele nyingi..na wewe elimu yako ni ndogo utaaweza shindana nalo hili?

Samia:Ukweli atanipa stress huyu, nitakosa Raha.

Washauri:Sasa suluhisho la yote haya tuendelee kumuzuia palepale UK..
Mseveni anakubalika Uganda kuliko samia anavyo kubalika tz ....mauaji ya kidini ya October 29 ni sababu kubwa inayo mfanya samia na genge lake la wahalifu kuzidi kuwa na hofu ya kuondoka madarakani.
 
Ni Kweli. Lissu kutoka ni kazi ngumu.

Washaur wa Samia ndio wanaendelea kumsagia Kunguni Lissu.
Hasa kwa kuwa washamwendea na maridhiano kadha wa kadha na Lissu akayapiga chini na kuyaropoka.

Kesi ishakuwa ngumu

Miaka 2 ikitimia. Wale MaHakimu utasikia either mmoja au wawili wanastaafu au watabadilishiwa Mahakama na itachukua muda kupangiwa Hakim mwingne na huyo Hakim akija ataanza kusikiliza tena kesi upya.

Hapo ni miaka 2 mingne.
Sijawahi ona Rais mwenye washauri wa hovyo kama samia
 
Mzee wangu upo humu na ninajua unapenda sana kutembelea hili Jukwaa nitakachokiandika hapa sio kipya maana nishakuambia mara kadhaa.

Nilimwambia Mzee Kila nikipima Upepo naona kabisa SAMIA hamuachii Lissu atasota nae hadi amalize mda wake 2030.

Atapokea vitisho ila hatolegeza na why hatolegeza because washauri wake wanamwambia daily hizo pressure za nje sio kitu angalia Uganda issue ya BESIGYE.

Mzee kadakwa November 16, 2024, leo 2 years inaelekea yupo ndani kuna nini kinatokea?

Samia akiona hivo anasema kumbe inawezekana!!

Washauri wanakua:Mheshimiwa ujue huyu akitoka atakupelekea moto we huoni tu Heche anavyosumbua so akitoka huyu utapigiwa kelele nyingi..na wewe elimu yako ni ndogo utaaweza shindana nalo hili?

Samia:Ukweli atanipa stress huyu, nitakosa Raha.

Washauri:Sasa suluhisho la yote haya tuendelee kumuzuia palepale UK..
Aachiwe aende wapi mcsenge huyo na wenzake walioitia dole nchi?..huyo akae humo, akitoka tunae
 
Mzee wangu upo humu na ninajua unapenda sana kutembelea hili Jukwaa nitakachokiandika hapa sio kipya maana nishakuambia mara kadhaa.

Nilimwambia Mzee Kila nikipima Upepo naona kabisa SAMIA hamuachii Lissu atasota nae hadi amalize mda wake 2030.

Atapokea vitisho ila hatolegeza na why hatolegeza because washauri wake wanamwambia daily hizo pressure za nje sio kitu angalia Uganda issue ya BESIGYE.

Mzee kadakwa November 16, 2024, leo 2 years inaelekea yupo ndani kuna nini kinatokea?

Samia akiona hivo anasema kumbe inawezekana!!

Washauri wanakua:Mheshimiwa ujue huyu akitoka atakupelekea moto we huoni tu Heche anavyosumbua so akitoka huyu utapigiwa kelele nyingi..na wewe elimu yako ni ndogo utaaweza shindana nalo hili?

Samia:Ukweli atanipa stress huyu, nitakosa Raha.

Washauri:Sasa suluhisho la yote haya tuendelee kumuzuia palepale UK..

Me uwa nawaza like, let's say lisu kama akiwa gerezani, kifo cha kutoka kwa mungu

Je serikali itasemaje ? How itaweza kuwaaminisha watanzania kuwa ni normal death?

I think mama samia hana shida na lisu kuwa nje, ila wasaidizi wa mama ndio waoga wa lisu kuwa nje
 
Back
Top Bottom