THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,516
- 5,463
Mzee wangu upo humu na ninajua unapenda sana kutembelea hili Jukwaa nitakachokiandika hapa sio kipya maana nishakuambia mara kadhaa.
Nilimwambia Mzee Kila nikipima Upepo naona kabisa SAMIA hamuachii Lissu atasota nae hadi amalize mda wake 2030.
Atapokea vitisho ila hatolegeza na why hatolegeza because washauri wake wanamwambia daily hizo pressure za nje sio kitu angalia Uganda issue ya BESIGYE.
Mzee kadakwa November 16, 2024, leo 2 years inaelekea yupo ndani kuna nini kinatokea?
Samia akiona hivo anasema kumbe inawezekana!!
Washauri wanakua:Mheshimiwa ujue huyu akitoka atakupelekea moto we huoni tu Heche anavyosumbua so akitoka huyu utapigiwa kelele nyingi..na wewe elimu yako ni ndogo utaaweza shindana nalo hili?
Samia:Ukweli atanipa stress huyu, nitakosa Raha.
Washauri:Sasa suluhisho la yote haya tuendelee kumuzuia palepale UK..
Exactly, ametiwa woga kuwa ukimwachia umeondoka madarakani.... Hatamwacbia na atatoa amri kesi isiisheMzee wangu upo humu na ninajua unapenda sana kutembelea hili Jukwaa nitakachokiandika hapa sio kipya maana nishakuambia mara kadhaa.
Nilimwambia Mzee Kila nikipima Upepo naona kabisa SAMIA hamuachii Lissu atasota nae hadi amalize mda wake 2030.
Atapokea vitisho ila hatolegeza na why hatolegeza because washauri wake wanamwambia daily hizo pressure za nje sio kitu angalia Uganda issue ya BESIGYE.
Mzee kadakwa November 16, 2024, leo 2 years inaelekea yupo ndani kuna nini kinatokea?
Samia akiona hivo anasema kumbe inawezekana!!
Washauri wanakua:Mheshimiwa ujue huyu akitoka atakupelekea moto we huoni tu Heche anavyosumbua so akitoka huyu utapigiwa kelele nyingi..na wewe elimu yako ni ndogo utaaweza shindana nalo hili?
Samia:Ukweli atanipa stress huyu, nitakosa Raha.
Washauri:Sasa suluhisho la yote haya tuendelee kumuzuia palepale UK..
Mkwere ana roho mbaya sanaNi Kweli. Lissu kutoka ni kazi ngumu.
Washaur wa Samia ndio wanaendelea kumsagia Kunguni Lissu.
Hasa kwa kuwa washamwendea na maridhiano kadha wa kadha na Lissu akayapiga chini na kuyaropoka.
Kesi ishakuwa ngumu
Miaka 2 ikitimia. Wale MaHakimu utasikia either mmoja au wawili wanastaafu au watabadilishiwa Mahakama na itachukua muda kupangiwa Hakim mwingne na huyo Hakim akija ataanza kusikiliza tena kesi upya.
Hapo ni miaka 2 mingne.
Mseveni anakubalika Uganda kuliko samia anavyo kubalika tz ....mauaji ya kidini ya October 29 ni sababu kubwa inayo mfanya samia na genge lake la wahalifu kuzidi kuwa na hofu ya kuondoka madarakani.Mzee wangu upo humu na ninajua unapenda sana kutembelea hili Jukwaa nitakachokiandika hapa sio kipya maana nishakuambia mara kadhaa.
Nilimwambia Mzee Kila nikipima Upepo naona kabisa SAMIA hamuachii Lissu atasota nae hadi amalize mda wake 2030.
Atapokea vitisho ila hatolegeza na why hatolegeza because washauri wake wanamwambia daily hizo pressure za nje sio kitu angalia Uganda issue ya BESIGYE.
Mzee kadakwa November 16, 2024, leo 2 years inaelekea yupo ndani kuna nini kinatokea?
Samia akiona hivo anasema kumbe inawezekana!!
Washauri wanakua:Mheshimiwa ujue huyu akitoka atakupelekea moto we huoni tu Heche anavyosumbua so akitoka huyu utapigiwa kelele nyingi..na wewe elimu yako ni ndogo utaaweza shindana nalo hili?
Samia:Ukweli atanipa stress huyu, nitakosa Raha.
Washauri:Sasa suluhisho la yote haya tuendelee kumuzuia palepale UK..
Huyu mzee majira yake yako magharibi inabiidi atende haki soon he will be the pastUsemayo ni kweli na mtu anayemlisha ujinga Samia wa kuendelea kumuweka Lissu kizuizini ni huyu shetani hapaView attachment 3634649
Mtu Mpumbafu silaha yake hua ni Mabavu.Hao wajinga wanamlisha uoga ili kulinda matumbo yao wenyewe, maana wanajua utawala ukibadilika hawana chao tena, na lazima huu utawala ubadilike.
Sijawahi ona Rais mwenye washauri wa hovyo kama samiaNi Kweli. Lissu kutoka ni kazi ngumu.
Washaur wa Samia ndio wanaendelea kumsagia Kunguni Lissu.
Hasa kwa kuwa washamwendea na maridhiano kadha wa kadha na Lissu akayapiga chini na kuyaropoka.
Kesi ishakuwa ngumu
Miaka 2 ikitimia. Wale MaHakimu utasikia either mmoja au wawili wanastaafu au watabadilishiwa Mahakama na itachukua muda kupangiwa Hakim mwingne na huyo Hakim akija ataanza kusikiliza tena kesi upya.
Hapo ni miaka 2 mingne.
Aachiwe aende wapi mcsenge huyo na wenzake walioitia dole nchi?..huyo akae humo, akitoka tunaeMzee wangu upo humu na ninajua unapenda sana kutembelea hili Jukwaa nitakachokiandika hapa sio kipya maana nishakuambia mara kadhaa.
Nilimwambia Mzee Kila nikipima Upepo naona kabisa SAMIA hamuachii Lissu atasota nae hadi amalize mda wake 2030.
Atapokea vitisho ila hatolegeza na why hatolegeza because washauri wake wanamwambia daily hizo pressure za nje sio kitu angalia Uganda issue ya BESIGYE.
Mzee kadakwa November 16, 2024, leo 2 years inaelekea yupo ndani kuna nini kinatokea?
Samia akiona hivo anasema kumbe inawezekana!!
Washauri wanakua:Mheshimiwa ujue huyu akitoka atakupelekea moto we huoni tu Heche anavyosumbua so akitoka huyu utapigiwa kelele nyingi..na wewe elimu yako ni ndogo utaaweza shindana nalo hili?
Samia:Ukweli atanipa stress huyu, nitakosa Raha.
Washauri:Sasa suluhisho la yote haya tuendelee kumuzuia palepale UK..
Tumia akili zako vizuri!Aachiwe aende wapi mcsenge huyo na wenzake walioitia dole nchi?..huyo akae humo, akitoka tunae
Tumbo limejaa mavii ana nguvu ya kuchuchumaa kuyaporomosha chooni kweli?!.Usemayo ni kweli na mtu anayemlisha ujinga Samia wa kuendelea kumuweka Lissu kizuizini ni huyu shetani hapaView attachment 3634649View attachment 3634669
We ni gasho huna unaloweza kumfanya mtu, hapo unabweka bweka ukiwategemea mabwana zako wanaokulisha tu!Aachiwe aende wapi mcsenge huyo na wenzake walioitia dole nchi?..huyo akae humo, akitoka tunae
Mzee wangu upo humu na ninajua unapenda sana kutembelea hili Jukwaa nitakachokiandika hapa sio kipya maana nishakuambia mara kadhaa.
Nilimwambia Mzee Kila nikipima Upepo naona kabisa SAMIA hamuachii Lissu atasota nae hadi amalize mda wake 2030.
Atapokea vitisho ila hatolegeza na why hatolegeza because washauri wake wanamwambia daily hizo pressure za nje sio kitu angalia Uganda issue ya BESIGYE.
Mzee kadakwa November 16, 2024, leo 2 years inaelekea yupo ndani kuna nini kinatokea?
Samia akiona hivo anasema kumbe inawezekana!!
Washauri wanakua:Mheshimiwa ujue huyu akitoka atakupelekea moto we huoni tu Heche anavyosumbua so akitoka huyu utapigiwa kelele nyingi..na wewe elimu yako ni ndogo utaaweza shindana nalo hili?
Samia:Ukweli atanipa stress huyu, nitakosa Raha.
Washauri:Sasa suluhisho la yote haya tuendelee kumuzuia palepale UK..
Kwani anayetoq hukumu ni Samia au majaji?
Tunataka akifungwa afungwe kihalali na akiachiwa aachiww kihalali si Kwa huruma ya raisi